Tetesi: Ni kweli Desemba walimu wa 2014 na 2015 watapanda vyeo walivyopunjwa?

Tprecious

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
224
296
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo. Je, kuna ukweli wowote?
 
Nipo jikoni kabisa huku, hizo habari ni uzushi tu..we tuliza pumbu zako tafuta hela
 
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo,je kuna ukweli wowote?
Nyie acheni huu ujinga was tetesi kuhusu Hawa watumishi!mnawapandishia adrenaline halafu baadae Wanakua disappointed kama Ile asilimia 23.3!!mtawafanya wapate depression kubwa kuliko hii waliyonayo coz wanapiyltia wakati mgumu Sana na hakuna anaewajali nanjuhudi zao zimebagazwa Kwa muda mrefu!!

Acheni wakuu!!
 
Siyo kweli, upandaji wa vyeo hauna uhusiano wa moja kwa moja na kipindi ulichotumikia kazini bali ni mapendekezo ya mkuu wako wa kazi/kituo kulingana na utendaji kazi wako na nidhamu yako kwa ujumla. Unaweza kukaa hata miaka kumi bila kupanda cheo kama huna sifa za kupanda!
 
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo,je kuna ukweli wowote?

Lazima uelewe mishahara itabadilishwa tu kama bajeti ya serikali kwa mwaka huo imejumuisha hayo mabadiliko ya katikati ya mwaka wa fedha, vinginevyo ni patupu hata kama umepandishwa cheo.
 
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo,je kuna ukweli wowote?

Kwani wewe unafundisha shule ya wapi?
 
Nyie acheni huu ujinga was tetesi kuhusu Hawa watumishi!mnawapandishia adrenaline halafu baadae Wanakua disappointed kama Ile asilimia 23.3!!mtawafanya wapate depression kubwa kuliko hii waliyonayo coz wanapiyltia wakati mgumu Sana na hakuna anaewajali nanjuhudi zao zimebagazwa Kwa muda mrefu!!

Acheni wakuu!!

Kwani asilimia 23 ilikuwa kwa kila mtu au kwa kima cha chini cha mshahara! Kweli watu ni mbumbumbu aisee! Serikali yoyote duniani inaposema imepandisha kima cha chini kwa asilimia fulani haina maana kila level ya mshahara itapanda kwa asilimia hiyo hiyo. Lengo huwa ni kuwakwamua watu wa kima cha chini na siyo kila level, ya mshara istapanda kwa asilimia hiyo.
 
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo,je kuna ukweli wowote?
Mwalimu wa ajira mwaka 2015 atapandaje wakati kathibitishwa kazini mwaka 2016 kama usemacho kina ukweli watakao faidi ni wa mwaka 2014
 
Back
Top Bottom