walimu

  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu, ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  3. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu

    Mbunge Cherehani Akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu Walimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga wametakiwa kuongeza ubunifu na jitihada katika ufundishaji ili kuongeza hali ya ufaulu wa wanafunzi kutoka daraja C hadi kufikia daraja A. Wito huo umetolewa na...
  5. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? Mei Mosi inakaribia

    Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
  6. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mitaala mipya ya Elimu iendane na mitaala maslahi ya Walimu

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu, Utekelezaji wa mitaala mipya uendane na upitiaji upya wa mitaala masilahi ya walimu, mfano; 1. Mpaka miaka ya Sasa mwalimu wenye Masters hawatambuliki kimuundo Wala kimaslahi, wakati nchi za wenzetu elimu kubwa na performance nzuri kimasomo ndo sifa ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao. Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao na kisha kuwapa ujauzito na wengine ndoto zao kuisha kabisa. Wapo Wanafunzi kadhaa walifaulu...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya ndio maisha ya walimu waliomchangia Rais Samia Fomu ya Urais 2025

    Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui? Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa! Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao? Au zile millioni kumi kumi za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule wanawatesa sana walimu aisee

    Yaani Kuna shule Mkuu wa hiyo shule anawachukulia walimu wake kama watoto. Kufika kazini ni saa 1 kamili, kutoka ni saa 11 jioni na ni mkali balaa kuwaandikisha barua kila wakati.
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu ya Walimu: Wachangishana kumchukulia Rais Samia form lakini wameshindwa kuwachangia viti walimu wenzako, wanakaa chini

    Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu? Baadhi ya...
  12. James M Kiingereza HkH

    JamiiForums Tanzania The App: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    Habari zenu. Jina langu ni James Munn na mimi ni mwandishi wa kozi mpya ya msingi ya Kiingereza kwa wazungumzaji wa Kiswahili, inayoitwa Kiingereza - Hatua kwa Hatua. Ninaamini kuwa katika miaka ijayo, kozi hii itachangia kwa kiasi kikubwa katika elimu nchini Tanzania. Kozi hii ni muhimu kwa...
  13. Leak

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

    Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa! Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi? Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Elimu: Prof. Mkenda, kituo cha Walimu (TRC) Mawenzi Moshi Manispaa wanakusanya michango kutoka kila shule bila kibali chako

    TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024. Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Walimu wanaosaidiwa katika masuala ya Afya ya Akili wanafaulisha zaidi Wanafunzi

    #AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu. Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ngingana ina wanafunzi 400 na walimu wawili

    Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma. Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi, Walimu na Wanafunzi kuanzisha club za kupambana na uhalifu shuleni

    Mkaguzi wa kata ya Mkundi Mkoani Morogoro Mkaguzi msaidizi wa Polisi A/INSP Anna Manumbu amebainisha kuwa Jeshi hilo kwa kushirikiana walimu na wanafunzi wanaunda club za kupambana na uhalifu mashuleni ambazo zitaongeza kasi ya kupambana na uhalifu na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Benki kuu ya Tanzania(BOT) ni kweli mnalipa pesa za nauli kwa ubaguzi? Walimu wa Halmashauri ya Tunduru hatujalipwa tokea mwaka jana

    Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru tunaambiwa maombi yenu tulishayapeleka BOT. Kwanza nataka...
  20. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu wa kike wamerundikana shule za mjini?

    Asilimia kubwa ya Walimu wote shule za vijijini ni wanaume. Kuna shule hazijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu kuanzishwa kwake. Kuna mtindo wa kurundika walimu wa kike shule za mjini kwa kigezo cha mazingira . Mwalimu wa kike akiajiriwa kijijini kidogo tu huyo amehama . Pita shule zilizopo...
Back
Top Bottom