wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ignas mgaya

    JamiiForums Tanzania Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

    Habari zenu, Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
  2. Gcanham

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kwenye WhatsApp wakuu

    Habari za jioni wakuu. Nimekumbwa Na tatizo la kutopokea WhatsApp code kwa wiki moja sasa naomba msaada wenu jamani Maana kila nikijaribu inanionesha hivyo 😰😭
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari, wataalam na wenye uzoefu wa jambo hili naombeni muongozo katika jambo langu hili. Ili kujikwamua na ufukara uliokithiri Nilitaman kufanya biashara ya ufagaji.. Nilionelea nifanye ufagaji wa kuku wa mayai. But sijawah kufanya hii kitu uzoefu nilionao ni wa kuhudumia kuku wetu wale...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

    Wakuu msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
  6. Nahman

    JamiiForums Tanzania Kuna wamasai wazuri wakuu

    Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai... Ni mrembo jamani Yuko natural Mtoto mrefu kama ngusoo Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻 Macho yake yameingia ndani kidogo Alafu ana kama weusi hivi machoni Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle...
  7. Odegard

    JamiiForums Tanzania Habari

    Naomba mnipokee Mimi ni mtanzania mwenzenu.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie

    Habari za wakati huu wakubwa. Samahani, mimi ni kijana umri miaka 26. Nina Bachelor Degree ya Ualimu. Ninapatikana Morogoro kwa sasa. Naamini mbali na kushare taarifa mbalimbali pia tunaweza kusaidiana
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania wakuu anaweza kunisaidia kunipa taarifa juu ya kifaa hiki

    nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa Mikoa na Wilaya fuateni utaratibu wakati wa kuvunja mikataba, mnatutia hasara

    “Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma). Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu hapa wakuu. Kuna mdada nmemtongoza kanambia anamchumba leo mwaka umepita, bado anaendelea kusogea karibu yangu

    Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae". Nifanyeje ili nmpate wakuu?
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njooni tujadili zinakokwenda fedha za umma

    Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno. Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala. Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine. Hapo fedha...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

    KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC). Akihutubia kikao cha EALA, Rais Ruto amesema Viongozi Wakuu wa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

    Nimeshtuka..! Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni? Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu? Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana? Nimeumia sana kwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani?

    Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine mapya ( sijui tamati ya yale ya awali). Uhuru amepewa nyumba? Amandla...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua mfumo wa serikali unaotumiwa na serikali kuchagua waajiriwa

    Wakuu habari, Naomba msaada kwa yeyote anae jua ni mfumo upi( software program) inayotumiwa na serikali kuchagua majina ya watu kwa ajira baada ya graduate kufanya maombi pale nafasi zinapo tangwaza. Naombeni hivi sasa, babu yangu wa Tanga anahitaji afanye mambo kidogo( system manipulation).
  20. P

    JamiiForums Tanzania Naomba mada nzuri ya Utafiti wa Kisayansi itakayotikisa Duniani

    Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
Back
Top Bottom