Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno.

Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala.

Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine.

Hapo fedha itakayotumika ni kubwa mno ukilinganisha na hali za Watanzania.

Mapato mengi ya nchi hii yanatumika kuendeshea serikali.

• Uhamisho na posho za viongozi
• Service na matengenezo ya magari ya serikali
• Mishahara ya watumishi na wanasiasa.

Hivyo vitu 3 juu ndivyo vinakula fedha za umma.

The rest zinaenda kwenye miradi ya kimkakati ambako nako kuna rambaramba.

Ombi : Serikali ipunguze ukubwa wa serikali (uongozi).
 
Tunajadili nini wakati pesa zinikwenda CCM.
 
USISAHAU ZIARA NA MISAFARA YA MAKONDA YA MAGARI ZAIDI YA 30
 
Back
Top Bottom