Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF .

Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji .

Hawataruhusiwa kukanyaga Marekani na nchi washirika , huku mali zao zilizo katika nchi hizo zikiwemo nyumba zikikamatwa .
 
Back
Top Bottom