wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wakuu tusaidiane hapa

    Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano wa kutibu akapona kabisa Wakuu humu kuna siku katika kusoma comments mbalimbali nilipata kusoma ya...
  2. AndreRieu

    JamiiForums Tanzania Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  4. The Lost Boy

    JamiiForums Tanzania Leo nimefunga biashara yangu

    Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara. Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii...
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

    Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa kisheria Wakuu

    Habari wakuu naombeni msaada wenu Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
  7. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mtu anayetumia gb whatsapp mpka leo anisaidie

    Salamu wakuu Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
  8. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)

    Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nina vijana wawili wamekosa msaada kwenye soka wakuu nahitaji msaada wenu

    Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania. Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi. Mmoja ni winga. Ni dogo wa miaka kama 17 hivi ni 17 kweli sio za mchongo. Dogo kipaji anacho, kwanza ana...
  10. Njugu mawe

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzibua choo naipataje wakuu

  11. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni mke

    Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa. Umri wangu miaka 32. Kazi bado sina ila najishughulisha na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

    Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba. 2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore. 3.Viktor Orban-Miaka 28...
  13. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo. Nawasilisha.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kutafuta pesa wakuu

    Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu kwa hili:

    Kijana wangu kamaliza form four Mwaka jana 2023. Kafanya vizuri Masomo yake yote ana div one B 6 na C 1. Alikuwa ana chukua Masomo ya science. Kachaguliwa kwenda kusoma tahasusi ya PCB. Yeye hataki anataka akasome EGM, je ina wezekana wakati hakusoma commerce wala accounts O level? Naomba...
  18. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza artificial plants/ maua kwa jumla Mwanza?

    Nimekua napenda kufanya hii mambo! Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar. Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi. Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
  19. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, punyeto inaweza kuwa sababu ya kuchoka kwa mwili?

    Wakuu samahani Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya, ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu...
Back
Top Bottom