Kuna wamasai wazuri wakuu

Nahman

JF-Expert Member
Oct 4, 2023
521
1,521
Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai...
Ni mrembo jamani
Yuko natural
Mtoto mrefu kama ngusoo
Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi
Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻
Macho yake yameingia ndani kidogo
Alafu ana kama weusi hivi machoni

Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle nliyokaa

Hello diana najua hujui hata JamiiForums ni nini
Nmekuja kukuandika huku ...
Kwa hakika mungu amefanya kazi yake kikamilifuu

Uzi tayari...
 
Mwanzoni nilikuwa nikiwaona watu wa ajabu sana. Ila baada ya kuja huku nikakutana na wamasai wa mjini mixer kuchakata mbususu mbili tatu za kimasai nimekuja kugundua kuwa Utopolo hawezi mtoa Masandawana (Yani wana mbususu tam sana alafu ukute ni mweupe wanakuwaga wazuri mno).
 
Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai...
Ni mrembo jamani
Yuko natural
Mtoto mrefu kama ngusoo
Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi
Kwa hakika muumba anaumba
Macho yake yameingia ndani kidogo
Alafu ana kama weusi hivi machoni

Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle nliyokaa

Hello diana najua hujui hata JamiiForums ni nini
Nmekuja kukuandika huku ...
Kwa hakika mungu amefanya kazi yake kikamilifuu

Uzi tayari...
Upo sahihi mleta mada
4f41ebaa6bb4f546a13d3a1164b7aab3.jpg
 
Back
Top Bottom