wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  2. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kulingana kipato changu na maisha ninayoishi

    Maisha ya kujitegemea nimeyaanza january mwaka huu na kipato changu kwa mwezi kina range 400k mpaka 600k. Nimepanga chumba kimoja na choo ndani kodi nalipia 80k kwa mwezi, Usafiri natumia 2k kwa siku, Kula natumia 6k mpaka 10k So nikipiga hesabu pesa ya usafiri na kodi pamoja kula nakuwa...
  3. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

    Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi. Wengine hawajawah kufanya kazi za tender...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa anayependwa zaidi kuliko Wakuu wote wa Mikoa kwa sasa

    Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira. Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu kuhusu Soko la Madaktari wa Mifugo (BVM) nataka kutuma maombi

    Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakuu wa Mikoa ambao wananchi wanateseka na kero na hawasikilizi kero za wananchi

    Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  9. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Hii sheri kandamizi ya kikoloni ya kuweka watu wasio na hatia ndani masaa 24 ndiyo inayofanya wakuu wa mikoa na wilaya wajione miungu, iondolewe

    Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnanitenga sana wakuu

    Acheni kunitenga
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu? Yaani unakutana na demu faragha ila ili umwage unaanza kumfikiria demu mwingine

    Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana. Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi. Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
  12. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Yonazi aongoza kikao cha makatibu wakuu

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Tathmini ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa Jijini Dar es Salaam Aprili 26, 2024 pamoja na...
  14. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke. Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
  15. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
  16. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

    Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  19. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
Back
Top Bottom