wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mguu kwenye mfupa

    Heshima kwenu wadau. Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu. Ikapatikana nafuu ya kuanza kutembea na mara kwa mara mfupa wa goti huwa unauma hasa kipindi cha...
  2. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kuwa Tutorial Lecturer?

    Wakuu salamu. Nipo nachukua Bachelor of science with education hapa mlimani, na hii chini ni performance yangu, sasa nualizia for this performance can I be tutorial lecturer??? First semester 4.4 gpa Second semester 4.4 gpa Third semester 4.2 gpa Fourth semester 4.2 gpa Firth semester 3.8 gpa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata...
  4. mjenziwakale

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo kuhusu ni nini cha kufanya

    Salaam, Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
  5. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi league ya NBC IPO ama imefutwa

    Wakati league zingine zikipamba moto duniani kule Ujerumani wakijiandaa kuandika historia baada ya kijana aliyeishi viunga vya bayern Munich na kuiba mbinu zao akiwapa Bayer Leverkusen kombe gumu kabisa la bundesliga na pale Uingereza Klop anataka aondoke kwa heshima mambo ni tofauti hapa kwenye...
  6. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina wazo

    Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake. Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu. Nikamuuliza vipi mbona...
  7. scot mcomic

    JamiiForums Tanzania Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Habari za sikukuu ya pasaka natumai wote ni wazima waungwana, niende Moja Kwa moja kwenye mada ni kwamba hapa kazini Kuna dada mmoja tulitokea kupendana sana Sasa juzi tukapishana kauli nikatikisa kiberiti mwenzangu kamwaga njiti kabisa. Nilikuwa nampima tu kwamba tuachane akakubali Sasa...
  8. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali, Wananchi wawakatae Wakuu wa Mikoa wasiofaa. Uteuzi wa Rais siyo msahafu

    Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo. Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo. Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wakuu, leo nimeongeza mpiga kura mwigine

    Nilikuwa na mahusiano na pisi kali balaa (mchepuko), kutokana na uzuri wake akawa ananipiga mizinga mara kwa mara, mpaka ikafikia nikawa navaa suruali moja kauka nikuvae. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa ananipiga; nikaamua kumuwekea mazingira abebe ujauzito wangu. Kweli...
  10. Usinifokee

    JamiiForums Tanzania Hichi ni nini na kina maana gani wakuu

  11. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

    Heshima kwenu wadau. Naomba kuuliza kuhusu Poweramp Player kama kuna mtu ambaye amewahi kulipia hii Player anipe maelekezo kidogo. Naweza kulipia kutokea kwenye account yangu ya benki Moja kwa moja ? Hawawezi ku-hack account yangu wakafanya uhuni wowote...? Na je, nikishalipia inakuwa ni...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

    kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba "wanaume tumeumbwa maaatesooo" aliwaza sana

    Mwamba apewe maua yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nahangaika kupika hapa siopoa wakuu na ukizingatia siwezi kula daku kwa mama ntilie na nimeçhoka nakazi ile mbaya. Mchumba wangu joannah nikuoe Sasa au unasemaje😉😉😉😉😉😉😉😉
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ifafanue uwezo, sifa na elimu za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

    Kuna vituko huko mikoani. Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu. Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa. Niwatakie mchana mwema.
  15. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu

    Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara wangu ukiingia wachukue pesa yao
  16. R

    JamiiForums Tanzania Leo kinafanyika kikao cha baraza la Mawaziri; unadhani wakuu wa taasisi watabaki salama au kuna pangua pangua inakuja?

    Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya. Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama? DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona...
  17. Ignas mgaya

    JamiiForums Tanzania Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

    Habari zenu, Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
  18. Gcanham

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kwenye WhatsApp wakuu

    Habari za jioni wakuu. Nimekumbwa Na tatizo la kutopokea WhatsApp code kwa wiki moja sasa naomba msaada wenu jamani Maana kila nikijaribu inanionesha hivyo 😰😭
  19. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari, wataalam na wenye uzoefu wa jambo hili naombeni muongozo katika jambo langu hili. Ili kujikwamua na ufukara uliokithiri Nilitaman kufanya biashara ya ufagaji.. Nilionelea nifanye ufagaji wa kuku wa mayai. But sijawah kufanya hii kitu uzoefu nilionao ni wa kuhudumia kuku wetu wale...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

    Wakuu msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo.
Back
Top Bottom