uwezo

  1. The only

    JamiiForums Tanzania Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

    Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
  2. expter

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anaye jua biashara ya kuagiza magari kutoka Japan anijuze

    MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
  3. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kunusa umepotea siku ya tatu sasa

    Habari wakuu Hapa nilipo sina amani kabisa ,uwezo wa kunusa umepotea kabisa ,ninakula chakula bila kusikia harufu yake. Ninamafua ya kawaida hayanibani sana ,ila hili la kutonusa na kusikia harufu ya kitu limekuwa kubwa zaidi Naomba kujua tiba yake Uzi tayar
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

    Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa. Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia...
  5. chrome

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Corona imeathiri uwezo wa wanaume kuzalisha

    TAFITI mpya umeonyesha kuwa Covid-19 inaweza kufanya wanaume kukosa uwezo wa kuzalisha.Wanasayansi wanasema kwamba wanaume wanaoambukizwa virusi hivyo wanaweza kukosa kuzalisha kwa muda. Kwenye utafiti wao wanasayansi walilinganisha ubora wa shahawa za wanaume walioambukizwa na wasioambukizwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

    BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu" Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa. Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo tofauti na wale wa CCM ambao husaka tenda!

    Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara. Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani. Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Afrika tunatia aibu kutokuwa na uwezo wa kutengeneza dawa

    Yaani pamoja na wasomi wote tulionao bara nzima bado tunasubiri huruma kwenye kila kitu hata Chanjo za Corona. Lakini kibaya nchi zote za Africa ukiacha Senegal hata jitihada za kutafuta chanjo hakuna sasa OAU na hizi EAC , SADC ni za nini kuongea tu!!. Tungekuwa na viwanda vya madawa hata...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

    Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

    Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

    Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa. Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

    Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu. Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kampeni: Napinga Juma Nkamia kuwa Mwenyekiti wa Simba, hana uwezo

    Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya anamuelewesha mwanae; ukiwa Rais una uwezo wa kufanya lolote

  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliochaguliwa na wananchi wana uwezo mkubwa wa kuleta chachu ya maendeleo

    Januari imefika taarifa iliyoko ni kuwa watoto wetu wengi wanaoanza kidato cha kwanza hawana madarasa ya kusomea. Hili ni swala la kila mzazi na mwananchi. Hatujui nani katika hawa watoto atakuja kuboresha sera za nchi sisi tukiwa ni wazee. Watanzania walioko Ughaibuni wangetumika kusaidia...
  16. mambio

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza uwezo wa kujiamini kabisa na sielewi hatma yangu

    Nimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu! Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake. Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje ni Mihimili mitatu wakati Rais ndiye huteua Majaji wote na ana uwezo wa kulivunja Bunge?

    Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji mkuu. Ni ukweli pia kuwa Rais huteua Jaji mkuu na majaji wengine wote. Kadhalika Rais anaweza...
  18. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Hbr wadau hv kuna uwezo wakuama shule ya private kwenda gorvement kwa level ya advance

    Habr wadau hv kuna uwezo wakuama shule ya private kwenda gorvement kwa level ya advance
  19. East Wind

    JamiiForums Tanzania Madai ya TRA kukamata akaunti za Benki na hata kuchukua kilichomo, Serikali iangalie tena, huenda hiyo Mamlaka ikatumika vibaya

    Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya. Kama mnawapenda wafanya biashara na mnapenda waendelee mtawalinda 🌽🌽🌽 #Uzi tayari #maendeleo haya chama
  20. De Rama Msirikale

    JamiiForums Tanzania Nimedahiliwa na chuo kikuu nchini ila kutokana na hali iliyo nje ya uwezo wangu nimeshindwa kujiunga, naomba msaada wa mawazo

    Ushauri tafadhali, nimepata udahili wa chuo kikuu fulani hapa nchini. Sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuhairisha kuripoti chuo hicho. Nauliza endapo sitasitisha (cancel) hii application mwakani sitakuwa na vigezo vya kuomba tena? Kama mwombaji mpya kwa vyuo vyote...
Back
Top Bottom