uwezo

  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

    ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA'' Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  3. masara

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

    za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja, kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto. kwa sababu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kabla ya hii miaka mitano haijaisha, uwezo wa Mungu utakuwa umejidhirisha kwa wanaotuhumiwa kuhujumu uchaguzi

    Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kuamini Sana uchawi huwa kunaambatana na ujinga

    Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana. 1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza. 2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Salumu Mwalimu wameonesha uwezo mkubwa wakabidhiwe chama

    Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti. Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama. Ni hayo tu kwa uchache. Maendeleo hayana vyama.
  7. Anithape

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa suzuki carry (kirikuu)

    Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2. Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi? Asanteni
  8. Securelens

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama uwezo wako wa kuhimili stress na shock ni mdogo mpigie kura Dkt. Magufuli uwe na amani matokeo yakitangazwa

    Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na level ya matarajio yao. Leo naomba kutoa ushauri kwa watanzania wanaofahamu kuwa uwezo wao wa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

    Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze . Ushahidi huu hapa
  10. fungi06

    JamiiForums Tanzania Viumbe wenye uwezo mkubwa wa ubongo

    Duniani kuna viumbe vitatu tuu.... vyenye mpangilio sawia kwenye ubongo. Navyo ni:~ A. Binadamu B. Dolfine C. Gorilla Bila kusahau tembo mwenye ubongo mkubwa mno lakini uko fold ndani ya sehemu kubwa 3 ( nitaweka nyungu...kwanini wanao ubongo mkubwa mno, ila tunajua tembo uwa wanatembea...
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

    Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao. Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana! Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super. This...
  12. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Wasio na uwezo wa kushika au kutia mimba wanachangamoto nyingi maishani

    Bila shaka tunatambua ustawi wa jamii unaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo ni jukumu la ustawi wa jamii kuwa na sera inayoyaangazia matatizo yote yanayoikumba ngazi ya familia ili kuiweka sawa Ngazi ya familia ina kitu wanaita TARAKA, ambaye sababu yake kuu kwa tafiti zilizopo ni mtu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wananchi mchagueni mgombea mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli

    Akiwa huko Mihambwe Zitto amewataka wananchi wachague mtu mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli. Ndugu Zitto amewaambia wananchi kuwa lengo kuu ni kumshinda Magufuli na amewataka wananchi wasigawe kura, maana wakifanya hivyo Magufuli atapita katikati kiulainii. Katika mahesabu makali ya upinzani...
  14. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume imemwita Tundu Lissu, lakini haina mamlaka wala uwezo wa kumuadhibu

    Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii. Katiba yetu inasema katika ugombea urais Tume ikishamtangaza mtu mshindi basi haiwezi kuhojiwa na chombo chochote duniani. Hata kama Tundu Lissu atapata kura...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Tanzania ni lazima ukiwa Mwanasiasa pia uwe na uwezo mkubwa wa kuwa Mnafiki na Muongo?

    Kauli ya mwaka 2018 "Natoa Wito kwa Wakuu wote wa Mikoa hadi wale wa Wilaya kuhakikisha kuwa kila Mfanyabiashara mdogo mdogo wa Kitanzania (Wamachinga) awe na Kitambulisho ndipo aweze Kufanya Biashara yake. Ole wake kwa Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ambaye nitakuta Mkoa wake haujalitimiza hili...
  19. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama una mtoto Sekondari na unataka asome hadi Chuo Kikuu na huna uwezo kumlipia, linganisha sera uchague sahihi usije baadaye kujilaumu

    Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao. "Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
Back
Top Bottom