uwezo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Majibu haya ya Lissu akihojiwa DW, ni ushahidi mwingine wa uwezo wa Lissu kujibu hoja na kuwa mgombea ataefaa kumkabili Magufuli kwenye kampeni

    Lissu, a human rights and environmental lawyer, is a vocal critic of government corruption and the current president, John Magufuli. He has been arrested several times in the past and still has charges of uttering seditious words against the Tanzanian state authority outstanding against him...
  2. katib mkoa

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Ronaldinho Gaucho uwanjani ulikuwa ni upi?

    Mnaosema hakuna kama Gaucho mnatumia kigezo gani? Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana kipi kuwapita watu hao wawili? Hapa naongelea uwezo binafsi ambao hauna msaada wa timu usitaje...
  3. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Powered Mixer yenye uwezo huu mara moja

    Habari wakuu, nahitaji muuzaji wa Mixer ambayo ni powered itakayokuwa na uwezo wa kuendesha box speaker 4 za watt 300 yenye njia kama 12 au zaidi. Njoo na bei yako kwenye comment, pesa ipo tayari. Kidumu chama chetu.
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yatupia chombo angani chenye uwezo mkubwa wa kufuatilia mambo ya maadui

    Maadui wa Israel kama vile Iran wako taabani maana wanazidi kuanikwa na vyombo vinavyotupwa angani, hii ni satellite ya kipekee yenye uwezo mkubwa. ====== Israel on Monday launched a new spy satellite that it said would provide high-quality surveillance for its military intelligence. Israel...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania hazina uwezo wa kujitengenezea vipaji ?

    Imebidi niulize , maana huko waendako wanaelekea kulogana , B Dozen kang'olewa Clouds na sasa Musa Husein naye yuko mbioni . Hivi haiwezekani media hizi zikafanya kazi na watangazaji wapya kabisa na zikatoboa ? hii tabia ya kupora watangazaji kwa kuwaongeza dau imetokea wapi ?
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ujue uwezo wa tango kuzuia tezi dume

    Miaka mingi kidogo nilikutana na dada mmoja kutoka visiwa vya Caribbean, alinieleza umuhimu wa wanaume kula matango. Aliendelea kuwa kwao mtoto wa kiume anahimizwa kula tango walau moja kila siku baada ya kufikia umri wa balehe. Dada huyu aliniambia pia kama una mgonjwa wa tezi dume kamua...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

    Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

    Wana JF. Tangu uwepo ugonjwa wa Corona, mapambano ambayo NIMR imeyafanya , imejiongezea umaarufu na kujikutabinajulikana sana baada ya kutengeneza Tiba lishe mbali mbali kupambana na COVID19. Kabla ya hapo watanzania wengi walikuwa hawajui kama kuna kitu kama NIMR kinafanya utafiti wa Tiba...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom na mitandao ya simu wekeni uwezo wa mtu kurudisha pesa aliyoipokea kimakosa

    Mitandao ya simu imerahisisha maisha kwa kuruhusu mtu kujirudishia pesa aliyotuma kimakosa kwenda kwa mtu mwingine. Hili tumelipokea kwa mikono miwili. Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui. Naomba wazo hili mlifanyie kazi...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Pwani baada ya Sumaye kuondoka washindwa kununua umeme ofisi iko giza

    Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku uchaguzi itakuwaje ?
  12. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania TL na JP Tutawafanyia Mdahalo kwa lugha yakingereza ili kupata kufahamu uwezo wenu

    JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT , Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
  13. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote. Siumwi homa, wala mafua. Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto). Kuna wenzangu humu? Baadhi ya Maoni yaliyotolewa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mkwasa: Wachezaji wa Yanga wamepoteza uwezo wa kumiliki mpira

    Kocha msaidizi wa Young Africans, Charles Boniface Mkwasa amesema amegundua mambo mawili, baada ya kuanza mazoezi ya kikosi cha klabu hiyo jana jioni. Kikosi cha Young Africans kilianza mazoezi ya kwanza jana jioni katika uwanja wa shule ya sheria, jirani na kituo cha daladala cha Ubungo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke aliyekeketwa ana uwezo wa kufika kileleni?

    Habari wakuu? Kuna swali huwa najiuliza nimeona nililete kwenu kwa majibu. Swali ni je mwanamke ALIYEKEKETWA anao iwezo wa kufika kileleni wakati wa tendo?
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uchawi na nguvu za giza katika nchi za SADC pamoja na uwezo wa Mitume na Manabii

    Nilikutana na dada mmoja Mnigeria, katika maongezi nilimfahamisha kuwa mimi ninatoka Tanzania. Tulipozidi kuzoeana aliniambia kule kwenu kuna namba mbovu sana ya uchawi, nilimjibu kuliko nyinyi? Alisema sisi ni waropokaji tu lakini uchawi mnaujua nyinyi ila hamjitangazi. Alinipa hadith fupi...
  17. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watafiti waanza kuifanyia majaribio dawa ya mitishamba ya Zedupex kubaini kama ina uwezo wa kutibu COVID-19

    Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KEMRI) inafanyia majaribio dawa ya mitishamba ya Zedupex kubaini kama inaweza kutibu COVID19 Dawa ya mitishamba ya Zedupex ilitengenezwa na watafiti nchini humo miaka mitano iliyopita (2015) na imekuwa ikitumika kutibu ugonjwa wa Herpes Kiongozi wa timu...
  18. Nazgur

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

    Toka lilipoingia janga hili raisi alitoa msimamo kuwa watu waendelee ka kazi ila wachukue tahadali kwa kufuata mashrti yaliyowekwa na wizara ya afya. Pili, akasema hii ni vita hivyo tutmie kila siraha kupambana na huu ugonjwa, tutmie pia maombi na dawa za asili na kupiga nyungu ili kuutokomeza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea mpakani na Kenya, Zambia na Rwanda yanaonyesha haja ya umakini kwa Magufuli kuteua wakuu wa mikoa ya mipakani wenye uwezo wa kidiplomasia

    Nakumbuka katika kuteua wakuu wa mikoa muda fulani uliopita, Raisi Magufuli alisema kwamba alikuwa akiteua wakuu wa mikoa ya mipakani wengi wakiwa wanajeshi ili kusaidia katika suala la ulinzi mipakani. Lakini sasa, migongano na nchi jirani za Kenya, Zambia, Rwanda na hata Uganda zimetufundisha...
Back
Top Bottom