Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''

Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na mpenzi wake wa siku nyingi Bibie wa Kiitaliano Sarah Michelotti.

Za kunyapia nyapia siku za hivi karibuni ni kwamba Harmonize na mpenziwe huyo kutoka Italia mambo yao hayako sawa kiasi cha kupelekea Harmonize kuyumba katika kazi zake za sanaa baada ya kukosa msaada wa bibiye huyo.

Baada ya Harmonize kuweza wazi mwanaye huyo wa kike, Bibiye Sarah ameng'aka na kuweka wazi majibu ya vipimo vya DNA alivyofanyiwa Harmonize na Bintiye ambavyo vimeonesha kuwa SIYO mtoto wa kumzaa wa Harmonize.

Nanukuu alichoandika Sarah Michelotti katika akaunti yake ya Instagram(Verified)

Mungu wangu watu kweli wamevurugwa, mara mbili wamepima DNA ya mtoto bado majibu ni Negative., Ila kwakua umeshindwa kupata mtoto umeamua kujipa mtoto asie wako....hongera kwa adoption, utakua na roho nzuri 🤣🤣hukujua jinsi ya kutunza mke sababu ya maovu yako natumai utajua kutunza mtoto 🤣🤣🤣 UKOME KUONGOPEA MASHABIKI ZAKO. Dah 🙏 I post it in swaili language, so everybody will understand 👌

Ni hayo wajumbe wa JF

Mwisho nimshauri Harmonize kwamba ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''

Konde.JPG
 
Kiki ya kijinga hii,wameshindwa kuipangilia,sasa huyo Sara majibu ya DNA yy kayapata wapi,manake yy hausiki na huyo mtoto kwa namna yoyote.

Basi hapo weekend hii anaachia nyimbo.
 
Back
Top Bottom