Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda.
Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
Vazi lenyewe linatumia nishati ya jua kuchaji simu, hongereni sana vijana, mnakokwenda kunafaa......
Ruuj Caflon a University of Nairobi (UoN) graduate is the founder of Caflon design, a company that designs clothes that can charge phones and produce lights.
He was taking an electrical...
Dunia imejawa na wanawake wazuri siku izi wanajiita pisi kali,
bwana weeee mimi nimepoteza uwezo wakutongoza japo izo pisi kali zipo nyingi kama Mchele wa kyela mwezi wa 6 si unajua lazima ushuke bei kwa buku kapu linajaaa ,
Na kwambia ukweli wasingekuwapo dadapoa ningepewa umakamu mwenyekiti...
Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite
Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
"Tayari Samia...
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
Napenda kutumia nafasi hii kukiri kwamba sijatumwa na mlengwa kuandika ninachoandika lakini nimeguswa na namna alivyo na uwezo wa ziada katika kujenga hoja, kuchambua mambo na kuongoza kwa kufuata sheria.
Tunapoelekea mkutano mkuu wa CCM, naamini safu ya uongozi ndani ya CCM itajengwa mpya kwa...
Kwa mujibu wa mfumo wetu, Wanasiasa ndio viongozi wa nchi ambapo kiongozi ndio hutoa muelekeo wa wapi pa kwenda au kutokwenda na ili iweje. Kwa mantiki hiyo, ili kupunguza ‘chances’ za kupotea, ni jambo la muhimu sana wanasiasa wetu wawe na uwezo mkubwa sana wa kufikiri.
Uwezo mkubwa wa...
VETIVER GRASS
Vetiver Grass ni aina ya nyasi ndefu zenye majani marefu, membamba na magumu. Vetiver Grass kwa jina la kisayansi zinajulikana kama "Chrysopogon zizanioides" na asili yake ni India.
Vetiver Grass zinauwezo wa kukua mpaka sentimita 150 ambazo ni sawa na futi tano na mizizi yake...
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
1. Nafasi za kazi za kitaalam zitangazwe, sifa zinazoendana na aina ya kazi husika ziainishwe, na kila anayedhani ana sifa aombe.
2. Mchujo ufanywe na jopo maalum lenye mchanganyiko wa wataalam mbalimbali. Wenye sifa wote waende hatua inayofuata.
3. Ufanyike usaili wa kujieleza ambao utarushwa...
Kwa ninavyowajua Marehemu wengine ( hasa Kisaikolojia ) walipokuwa Kamili ( Hai na Kinguvu pia ) kuna uwezekano Waombolezaji tungeumbuliwa nao, tungewambwa ( tungezabwa Vibao nao ) na kuna taratibu zingine tunazowafanyia wangezikataa Mubashara tu kwani wangeona ni Unafiki mtupu na Sanifu tu...
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.
Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara...
Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni utaratibu wa kurithi mali. Binadamu alipoanza kumiliki ardhi, kulima nafaka na kumiliki wanyama wa kufugwa...
Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali
Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara, hospitali, Shule, njia za reli, umeme, maji nk yote ilishaisha kujengwa. Hivyo serikali zingine...
Duniani kuna Imani nyingi za kidini , karbia kila mwanadamu anaamin uwepo wa nguvu zisizo za kawaida katika maisha ya binadamu... uwepo wa Mungu ni dhana inayoaminika na wanadamu karbia wote duniani , hata hvyo Mungu huyu anaabudiwa Kwa mfumo na Imani tofaut tofaut ... Kuna wanaomuabudu kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.