Uchaguzi 2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.

Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana! Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super.

This is contrary to my party CCM, ambayo secretariate yake chini ya Dkt. Bashiru imeshindwa kabisa katika cordination za kampeni kuanzia level ya Kata mpaka Urais. Organization yao iko very poor hasa katika kampeni za Urais.

Hawataki watu wenye uwezo kuja mbele kuokoa jahazi. But tatizo kubwa ni kwamba secretariate yote pale haijawahi kushiriki uchaguzi wowote ule tokea wazaliwe.

NB: Hata kama tukishinda this time 2020 basi lazima tufumue secretariate yote pale. Hawa tukienda nao 2025 ngoma itakuwa laini sana kwa Lissu.

Walimdanganya Rais kununua watu kumbe watu wenyewe hawakuwa na any impact. Bora tungewanunua hawa akina Golungwa na Bananga tu tukaachana na sijui Kalanga, Silinde, Lijuakali au Mashinji. we lost alot of money na focus. Leo hii upinzani tulifikiri umekufa kumbe upo imara na una morali kubwa kuliko ile ye Lowassa 2015 aliyekuwa na umaarufu wa media.

This election ni mgumu than ever before. uzuri CCM huku ndani kwa ndani tushaanza kuona ukweli na hali halisi wa ugumu wa huu uchaguzi.
 
Tatizo ni ngumu kutetea uongo. Hata ukiwa Na watu smart,kuitetea CCM ni kazi kweli kweli. We serikali haijaajiri miaka 5 straight. Hao graduates wengine ndio walitegemewa na familia zao ili waziokoe. Ila patupu. Ukiuliza unaambiwa flyover. Ukiuliza Mara hata marekani serikali haiajiri watu wote. Mara wajiajiri.

Hata uwe na mtaalam gani huwezi shawishi mtu mwenye njaa.
 
This election ni mgumu than ever before. uzuri CCM huku ndani kwa ndani tushaanza kuona ukweli na hali halisi ya ugumu wa uchaguzi huu.
 
Tatizo ni ngumu kutetea uongo. Hata ukiwa Na watu smart,kuitetea CCM ni kazi kweli kweli. We serikali haijaajiri miaka 5 straight. Hao graduates wengine ndio walitegemewa Na familia waziokoe. Ila patupu. Ukiuliza hnaambiwa flyover. Ukiuliza Mara hats marekani serikali haiajiri watu wote. Mara wajiajiri.
Hats uwe na mtaalam gani huwezishawishi mtu mwenye njaa.
Hii ndo point kubwa. Leo hii hata CCM wamchukue Lissu bado wananchi wangeikataa. Hata Lissu angeonekana anapwaya kabisa
 
Back
Top Bottom