Uchaguzi 2020 Kabla ya hii miaka mitano haijaisha, uwezo wa Mungu utakuwa umejidhirisha kwa wanaotuhumiwa kuhujumu uchaguzi

Status
Not open for further replies.

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,839
2,000
Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.

Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.

Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.

Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.

Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.

Time will tell.
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Adhabu pekee sio Kifo ,na Sababu moja haiwezi kuhalalisha Jambo kuwa ndivyo lilivyo.Mlijaribu kumuua Lissu mkashindwa kuua Mawazo kinzani ktk Vichwa vya Watu.

Mwisho wa siku wote tunaishia kufa, hivyo kuongelea kama Binadamu xyz akifariki ni kwamba kaadhibiwa ni ujinga na utoto, kwanza hata baadhi ya watoto wanajua kwamba maisha na vyote vilivyomo kuna mwisho, ...
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom