Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .
Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona...
Baada ya maelezo nitakayotoa nitaomba ujibu maswali 13 tu kwa akili yako ili uone una nafasi gani katika suala zima la intellectual capability hii ni kwa faida yako binafsi na majibu nitatoa na sababu ikiwezekana.
Kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu suala zima la IQ tests na huu mjadala...
Hatari Wana JF,
Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa.
Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Ni jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Rais wa Nchi ndiye mwanadiplomasia nambari one wa nchi yake, na ktk hili tuwe wakweli kwamba tumepungukiwa.
Tatizo la kwanza liko ktk uwakalilishi. Rais wetu amekuwa hahudhurii vikao muhimu...
Habarini za asubuhi ndugu zangu, natafuta kazi ya mambo ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT), Ukiniunganishia kazi iyo nitakupa nusu ya mshahara wangu baada\kuelekea kusaini mkataba.
Sehemu ambazo nina interested ya kukuza sana hii fani yangu ni:
1. Migodini
2. Sector za mawasilino...
Nimesikiliza hotuba ya Lissu leo Segerea, naona lissu ana improve safi sana, tatizo bado iko palepale japo limepungua kidogo katumia muda mwingi kumshambulia jpm kulipo kuelezea yeye na serikali yake watafanya nini, machache aliyo yaelezea nayo ni kama ifuatavyo.
1. Ujenzi wa barabara ya...
Nimekua niki-observe hili swala kwa mda mrefu kidogo na kwenye familia nyingi tofauti, utakuta ndugu wenye uwezo mkubwa kipesa wanawatenga ndugu wenzao wasio na pesa kinamna flani, sio kwamba wanawatenga kabisa..hapana..misiba na sherehe za harusi watahudhuria, michango watachangia, ila mazoea...
Katika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii.
Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia tuhuma za ngono zembe na kulaghai watu kuwa ana uwezo wa kufufua watu. Hapa chini ni video Gwajima...
Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono.
TFF inaruhusu mashabiki wachache kuingia viwanjani kuona mpira, je hii Ni kwa mpira tuu na sio kwenye...
CHADEMA wamekuwa wakijitahidi Sana kufanya matukio ya kuvunja Sheria ili vyombo vya dola vichukue hatua na wawekwe ndani I'll wapigiwe kura za kuhurumiwa na wananchi. Huu Ni utamaduni mpya ambao CHADEMA imeouanzisha ambao haujaeahi fanya kazi ila chaguzi zao za ndani unaonyesha kufanya kazi...
Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo alichonacho hana mamlaka ya kumuengua mtu yeyote kwa tuhuma zozote (soma majukumu wa katibu mwenezi...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa"
Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo...
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe...
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.
Hivyo basi uwezekano wa CHADEMA kuunda serikali ama ni finyu sana au haupo kabisa kwa sababu hadi sasa kuna majimbo 51...
Kwasasa Tanzania yetu ukienda kwenye interview hata Kama nafasi ya wahitimu wa darasa la saba mnachujwa kwa kufaham kiingereza inakuaje uko kwa madiwani na wabunge interview zao zinakua za kiswahili wakati ni nafasi muhimu sana.
Salaam!
Imekuwa ni desturi ya Watu wengi kulalamika kuwa kukosa Elimu ya darasani kumewafanya kushindwa kufikia mafanikio fulani fulani hususani ya kiuchumi.
Kwa upande wangu sioni mantiki ya kukwamishwa kuendelea kiuchumi kisa elimu ya kuta nne.
Hebu kwanza tujiulize ni nini kinamfanya mtu...
Suzuki Carry
Habari zenu!
Naomba kujulishwa uwezo wa suzuki carry a.k.a kirikuu:
1. Uwezo wa kubeba(maximum weight).
2. Nguvu yake kwenye mchanga,matope,utelezi,miinuko n.k. (pulling).
3. Je inaweza rough roads hasa mikoa isiyokuwa na milima mikali au maeneo yenye miinuko ya wastani.
4...
Nawapa hint wadogo zangu na ma brother wangu.
Ukijiona kila ukimpata demu uwezo wako ni kwenda guest house tu, tena huko unaomba ulipe kwa show time ili ubane matumizi basi jua umeyakimbilia mapenzi. Tafuta pesa , yes mwili umeshakua tena huenda una zaidi ya miaka 30 lakini mfuko wako haujakua...
Tumeanzisha NGO ila tuna changamoto ya kupata fedha kutoka kwa wafadhili, tunahitaji mwenye upeo na uwezo wa kujua wapi na namna ya kupata fedha kwa ajili ya miradi yetu ya maendeleo, NGO yetu ina malengo ya kujengea watu uwezo wa ujasiriamali, kilimo, mambo ya viwanda; inajenga miundo mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.