Uchaguzi 2020 Kama uwezo wako wa kuhimili stress na shock ni mdogo mpigie kura Dkt. Magufuli uwe na amani matokeo yakitangazwa

Securelens

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
316
541
Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na level ya matarajio yao.

Leo naomba kutoa ushauri kwa watanzania wanaofahamu kuwa uwezo wao wa kuhimili stress na shocks ni mdogo, tafadhali usijaribu kwa namna yoyote ile kumpigia kura Mgombea wa Upinzani, stress na shock ya matokeo ya ushindi wa Dkt Magufuli utakuumiza sana. Ushindi wa JPM wa kimbunga unaweza kukuletea madhara makubwa kiafya kuanzia usiku wa tarehe na 28 Oktoba na siku zinazofuata baada ya hapo.

Ndugu yangu usifuate ushabiki jali afya yako. Huwezi kuzuia maji kupita katika mkondo wake. Watanzania wameamua, watanzania watampa ushindi wa kimbunga. Wanasema If you cannot fight them , join them (Kama huwezi kupambana nao, ungana nao. Ikiwa unatamani kuungana na kundi hili la ushindi na kuepuka stress wakati wa kufuatilia matokeo na banda ya uchaguzi mpigie kura Dkt Magufuli utakuwa na amani na utafurahia kila matokeo yakitangazwa, Kinyume cha hapo jiandaa kupata stress na pressure.
 
Back
Top Bottom