Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,207
217,163
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .

Ushahidi huu hapa

Subpost 3 - Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, Maalim @SeifSharifHamad Ameshawasili  ( 799 X 640 ).jpg

Subpost 1 - Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, Maalim @SeifSharifHamad Ameshawasili  ( 799 X 640 ).jpg


 
Hao waache wajae kwenye hiyo mikutano lakini wakitoka hapo wanaenda kumpigia kura Dr Mwinyi kwani wameshachoshwa na maigizo ya huyo mzee.
 
Hao waache wajae kwenye hiyo mikutano lakini wakitoka hapo wanaenda kumpigia kura Dr Mwinyi kwani wameshachoshwa na maigizo ya huyo mzee.
Thubutu ! Nyomi hiyo ni wachache? Umeambiwa kuwa idadi ya watu waliopo kwenye mkutano huo haijawahi kutokea Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini au una miwani ya mbao? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom