Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?
Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani.
Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg?
Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo.
Watanzania wa ajab...
Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa.
Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga.
Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu.
Mme: Ondoa shaka, mdogo wako...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi:
1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma.
Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
Kuna nini labda huwa Kimejificha juu ya Wao Kuteuliwa kuwa Mabalozi na Waheshimiwa Marais wanaokuwepo Madarakani?
Ni matumaini yangu makubwa leo GENTAMYCINE nitapata Mrejesho kutoka kwa Wajuvi ( Team Kujua Masuala Mtambuka ) ili nami nielimike katika hili.
Nawasalimu kwa Jina la JMT!
Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi.
Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua.
Hongereni sana...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection.
Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake.
Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi.
Mimi binafsi...
Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua.
Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo.
Asante Mungu azidi kuwabariki.
Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k
Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri.
Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili.
Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate...
Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma.
Lengo la kikao hicho ni...
Habari.
Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification".
Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze...
Habari wanaJF.
Naomba kwa yeyote anayejua sababu zilizopelekea mamlaka ya mapato Tanzania yaani TRA kuajiri wenyewe aniambie?
Kusema ukweli ajira zinazopita utumishi ziko fair sana. Nimeshuhudia watoto wa maskini kabisa wakipata ajira TRA tena bila connection yoyote. Utumishi japo wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.