utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ajira za siri za mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi. Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  2. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ajira za siri za Mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi. Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  3. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati wilaya ya Uyui upande wa maafisa utumishi wamekuwa wakiomba rushwa

    Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao. Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini. Ukifuatilia kwa umakini...
  4. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Utumishi mmegoma kutoa majina na vituo vya usahili kwa walimu

    Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaibiwa kwa watu hawa wakishirikiana na maafisa Utumishi( wale waliodanganya wako masomoni na wale wa likizo bila malipo)

    Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali cha kuhama kwenye mfumo. Mbaya zaidi ukipiga simu TAMISEMI hata wao hawajui ni lini vibali hivyo...
  8. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

    Leo vijana wa medical laboratory walikuwa na written interview lakini maswali yao yote yalibase kwenye maabara za viwandani na mashuleni Maana mtihani ulibase zaidi kwenye topic za density ile ya form two, volumetric analysis ya form three, wakatolewa vernial calliper ya form one, mambo za...
  9. kekundu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fanyeni uhamisho wa Maafisa Utumishi wa Halmashauri, waliokaa muda mrefu utendaji wa kazi kimazoea

    TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea. Mfano kuna halmashauri moja Naafisa Utumishi wamekaa hapo kwa miaka 10 toka wameajiriwa, wanafanya kazi kwa mazoea na wanajibu Watumishi...
  10. trojan92

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi fanya interview ukaona kabisa hutoboi?

    Wakuu niaje.... Ni mimi hapa kijana wenu Trojan, leo nimeona nishare na nyie kuhusu interview hasa oral. Ofcourse nimefanya oral interview nyingi sana ila kuna zingine niliboronga kabisa. Kuna wakati uoga unakuingia from no where, kuna wakati maswali ni magumu mno nk. Je ushawahi fanya...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  12. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa wala konenisheni sahau kuhusu uhamisho mfumo ni kiini macho

    Suala la uhamisho kwa watumishi wa umma limekua kero kubwa hasa baada ya ujio wa mfumo wa ess,ambapo sasa maombi yote ya uhamisho hufanyika katika mfumo huu. Tangu kuanza kwake hadi sasa kumekua na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wanaaomba uhamisho kupitia mfumo,ambapo pamoja na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Questions asked in interviews for Tourism Officer II

    What are various questions usually asked in tourism officer interviews?
  14. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Interview za Utumishi na barua kutoka Kwa serikali ya mtaa

    Hello, Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi. Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI. hapa...
  15. Cardozo98

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia Oral Interview Marketing Officer Utumishi ni vipi?

    Habari kwa wenye uzoefu na hizi oral interview za utumishi ni vitu gani vya msingi kuzingatia?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu, makabila yetu,Dini zetu,jinsia zetu,ukanda na rika. Tuna kila sababu ya kusema...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza kujibu maswali ya Oral interview za utumishi.?

    Habari za weekend wakuu. Swali langu ni kama heading isemavyo. Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough. mfano wa maswali. 1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)? 2...
  18. emmarki

    JamiiForums Tanzania Maelekezo muhimu kutoka utumishi kwa wanaoomba ajira za ualimu

    Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi. Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa kichwa. Address ya utumishi usikosee hata nukta, Certify vyeti vya taaluma kama ilivyoelekezwa.....
  19. T

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira hizi mpya za Utumishi

    Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024 Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
  20. x - mas

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi: watumishi wanaobadilishwa kada/kazi mwaka 2023/2024 na wale wa madaraja

    Naomba kujuzwa yafuatayo: 1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu? 2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita. 3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada. Hapa mimi...
Back
Top Bottom