Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu.
Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
"Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai.
"Namshukuru Mheshimiwa...
Salaam, Shalom!!
Ulichokifanya ni WAJIBU wako kama kiongozi, ila Si vibaya kukupongeza sababu wamekuwapo wakuu wa mikoa wengi tangu uhuru lakini hawakupata mafanikio kama uliyofikia Hadi sasa!! Kongole!!!🙏
Kupambana na biashara ya ukahaba inahitaji mtu kuwa na akili kama ya Mwendawazimu...
Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani, safari, pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa...
Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani, wewe ndio Rais wetu, tukiwa na shida lazima tukulilie wewe. Kuna mengi umeifanyia hii nchi mazuri na unasifa kubwa ya kuwa msikivu mfano suala la DP World.
Umesema umechukuwa mapendekezo ya watu ukarekebisha baadhi ya vitu vilivyolalamikiwa, na mimi...
Habari wana JF!
Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
Habari wanajamvi,
Nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi (ukiachana na kazi za academicians)
Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?
Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani.
Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg?
Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo.
Watanzania wa ajab...
Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa.
Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga.
Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu.
Mme: Ondoa shaka, mdogo wako...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi:
1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma.
Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
Kuna nini labda huwa Kimejificha juu ya Wao Kuteuliwa kuwa Mabalozi na Waheshimiwa Marais wanaokuwepo Madarakani?
Ni matumaini yangu makubwa leo GENTAMYCINE nitapata Mrejesho kutoka kwa Wajuvi ( Team Kujua Masuala Mtambuka ) ili nami nielimike katika hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.