Shalom,
Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo.
Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya...
Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali.
Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili.
Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana...
Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake,
Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani...
Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu wa idara na wasaidizi wake,
Mfano Maafisa utumishi wote kwenye kazi ya halimashauuri Hadi mkoani...
Wakuu naomba mtu atakayeweza kunipa connection pale ofisi ya utumishi wa umma. Nataka nipate mtu pale anisaidie kupush jambo langu la uhamisho/kubadili kada
Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss.
Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani?
Mimi Mwl muuza Kangala
Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka.
Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa takribani miezi sita sasa tangu kuanza kwa Mfumo huo rasmi bila ya mafanikio huku nikikumbana na...
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539
24 Mei, 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA's) anakaribisha maombi ya kazi kutoka...
Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
Miaka miwil iliyopita nilienda kukopa benki fulani hapa Tanzania, na wakatuma deni kwa Afisa Utumishi na deni lilikuwa ni 12M, kilichotokea Afisa utumishi akakosea akaandika bilioni 1.2!
Cha ajabu baada ya kumaliza mkopo benki ikanipa stop deduction nimpelekee afisa utumishi ili aondoe deni...
Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na hali ilivyo katika kata nyingi nchini Tanzania. Watumishi wengi wanaofanya shughuli zao kwenye kata...
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko submitted.
Kuna watu walisubmit zikafail wakalog in wakapata muda wa kulog in wakakuta katika maswali 50...
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!!
Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria.
Je, napaswa nifanye nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.