Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

pelius laurent

Senior Member
Oct 7, 2019
131
122
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:-
1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye nida majina ni PELIUS MUKIZA KALENGELEZI ambalo hilo la tatu ni la babu yangu JE? hapo nikienda na avidavit ya kukubali hayo majina yote hawazingui?

2. Na kwenye nida wanahitaji kitambulisho? Au namba tu maana mm ninayo namba na kama wanahitaji kitambulisho nafanyaje hapo?

3.Na kwenye usaili wanaangalia muonekano?(mavazi, nywele n.k)

4. Na ni vitu gani vya kuzingatia ukiingia kwenye chumba cha usaili wa kufanya mtihani (yaani umepewa karatasi nini unaanza kuandika juu kati ya majina na namba yako ya usaili)
5. Kwa walio wazoefu kwenye msaidizi wa hesabu II naomba kujua maswali yanakuaje

NB. Nimeuliza maswali mengi kwa sababu sijawahi fanya interview yoyote na ndo mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal, na nimeuliza haya maswali ili ikitokea nmeitwa kwenye usaili nijue naenda na nini ili nisije saga nauli bure na nisipo itwa nasubilia nafasi nyingine huko mbele TAFADHARI ndugu zangu naomba msaada wenu kama hamtojali kwa sababu naamini kuna wazoefu humu 🙏🙏 naomba kuwasilisha
 
1: kwenye majina aisee hua ni kipengele wakizingatia hizo document na kukuta ziko tofauti ila sio mara zote watafatilia, kama wakifuatilia waonyeshe hiyo avidavit.

2: wanataka kitambulisho kati ya nida, cha kura au leseni ya udereva na sio namba.

3: unamaanisha nini unaposema muonekano.?
Daima ukienda kwenye interview hakikisha upo smart.

4: namba ya usaili ndio jina lako. Unaandika namba ya usaili na sio jina. Hili mtaambiwa ht kabla ya interview.

5: ?

NB: usisahau kubeba vyeti vyako vyote pamoja na kitambulisho
 
Asome mambo ya uhasibu aiyopitia chuo huko pia akague mwajiri ni nani na aina ya majukumu aliyopangiwa
 
Shukrani sana kiongozi kidogo nmepata mwanga
 
Asome mambo ya uhasibu aiyopitia chuo huko pia akague mwajiri ni nani na aina ya majukumu aliyopangiwa
Employer: MDAs & LGAs sijui ndo mwajiri gani maana ni mala yamgu ya kwanza labda kama naweza pata msaada wa ufafanuzi pia naweza kushukuru
 
Una Jitahidi sana kuandika na kujieleza mdogo wangu. Kila la heri.

Kuhusu ajira portal sijui, ila kuhusu usaili wowote ule utakaokwenda sasa na siku zijazo; Meza JD kama ilivyo, ielewe na uweze kuifafanua in detail, kama ni hizi ajira zetu zingine za kupeleka CV meza CV yako kama ilivyo uweze kuifafanua.

Kila la heri tena.
 
Jitahidi uwe wewe!Namaanisha jielezee wewe kama wewe usiige Fulani alifanya hivi akapata kazi huyo kakupa mwanga lakini wewe unabaki Kuwa wewe,usitoke nje ya wewe.
 
Asante sana ndugu yangu, japo hapo kwenye JD umenipoteza kidogo😀
 
Jitahidi uwe wewe!Namaanisha jielezee wewe kama wewe usiige Fulani alifanya hivi akapata kazi huyo kakupa mwanga lakini wewe unabaki Kuwa wewe,usitoke nje ya wewe.
Aaah ok sema bado kuna swali la "Explain yourself and your background" najiuliza unaweza kuanzia wapi kulijibu, yaani uanzie shule ya msingi? secondary?,au uanzie tu chuo maana najua hapa ndo msingi
 
Ndani ya dkk 5 elezea, jina lako + school background + kama Una experience na hiyo kazi + mafanikio ya huko ulipokuwa unafanya hy kazi
 
Back
Top Bottom