utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Maafisa Utumishi acheni kuwa miungu watu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  2. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Utumishi (Ajira Portal)

    Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi: 1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Serikali kufanya mabadiliko makubwa ya Sheria ya Utumishi ili kuwapa kipaumbele wanaojitolea

    Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurugenzi wa TISS na wa Vitengo vyao Wakiharibu au Wakimaliza Utumishi huteuliwa kuwa Mabalozi wa Vituo au wa Heshima tu?

    Kuna nini labda huwa Kimejificha juu ya Wao Kuteuliwa kuwa Mabalozi na Waheshimiwa Marais wanaokuwepo Madarakani? Ni matumaini yangu makubwa leo GENTAMYCINE nitapata Mrejesho kutoka kwa Wajuvi ( Team Kujua Masuala Mtambuka ) ili nami nielimike katika hili.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini Utumishi

  7. D

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  8. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi. Mimi binafsi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi wa umma

    Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua. Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo. Asante Mungu azidi kuwabariki.
  10. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

    Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
  11. kuchkuch hotahe

    JamiiForums Tanzania Utumishi rekebisheni kidogo hii

    Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri. Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili. Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Interview ya UTUMISHI

    Habari naomba msaada wa mawazo nimefanya interview ya utumishi ila nilkuwa na presha Kwa sababu ndo interview yangu ya Kwanza ,kwenye karatasi nillizojibia niliandika namba ya usahili ila kwenye question paper niliyoattach nilijichanganya Nikaandika jina badala ya namba, je hapo naweza nisipate...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wizara za Utamaduni, Elimu na Utumishi zakutana kujadili Maendeleo ya Kiswahili na Michezo

    Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma. Lengo la kikao hicho ni...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Utumishi wana mfumo mbovu wa ajira, mfumo unakataa wenye vigezo

    Habari. Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification". Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    Habari wanaJF. Naomba kwa yeyote anayejua sababu zilizopelekea mamlaka ya mapato Tanzania yaani TRA kuajiri wenyewe aniambie? Kusema ukweli ajira zinazopita utumishi ziko fair sana. Nimeshuhudia watoto wa maskini kabisa wakipata ajira TRA tena bila connection yoyote. Utumishi japo wana...
  16. Aqua Man

    JamiiForums Tanzania Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Sina mengi ila Utumishi kwenye hii Interview ya Compliance Officer mmetuonea. Pepa imepigika Jumamosi, leo matokeo, mchanganuo wa marks hueleweki, watu 33 tu ndio wameitwa oral. Mnatufanya tujiulize uwezo wetu wa kufikiri kama ni mdogo kiasi hiko au vipi!
  17. R

    JamiiForums Tanzania Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri George B. Simbachawene Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
  19. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

    Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanawake Chuo cha Utumishi wa Umma, Singida

    MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA. Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
Back
Top Bottom