Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 325
- 454
Habarini za asubuhi wapendwa
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa wanamfanyia mambo mabaya na kukawa na hatari ya wao kumharibia kazi
Naomba kuwasilisha wakuu.