Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,074
Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?

Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?

Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?

Hapa chini ni waajiriwa wapya walio anza mafunzo leo. Nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
IMG_1148.jpeg
IMG_1147.jpeg
IMG_1146.jpeg
IMG_1145.jpeg
IMG_1144.jpeg
IMG_1143.jpeg
 
Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?

Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?

Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?

Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
Hatari sana 😂
Umekaa zako unasubiri matokeo

Ghafla unapishana na wenzako wametoka kazini🤣

Huna habari😂
 
Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?

Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?

Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?

Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
that's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...
 
Pole kijana na kama unataka haki, itabidi uidai kweli kweli japo si lazma kampani au mashirika wakupe mrejesho au watoe majina ya waliopita kama tokeo la NECTA

Na bora wewe, je ungepitia situation ya kwenda kwenye oral interviews halafu kuna candidates wenzenu kama wawili ambao wanajuana na kila mfanyakazi anaepita kwenye corridor za hiyo kampuni. Ungejisikiaje 😁😁
 
Ngerudi nyumbani 😂😂😂

Ualimu na afya ni kula goodtime tu.
Tuma application,subiri upangiwe kituo cha kazi kama umepata.

Njoo sasa kada nyingine,
Watu wanahenyeshwa pesa za nauli,muda,akili, na bado kibarua hakuna.
 
Urudi home ukafanye nini, aluta continua

Huko kwa waalimu na wenyewe wawekewe interviews maana Advance, tulipata teacher mmoja ambaye hadi kuingia darasani alikuwa anaogopa maana uwezo haba

Ilifikia kipindi anaweka alarm, ikiita anatoka nje kama anapokea simu kumbe ndio harudiii hivyo na kesho yake akija anaanza na topic mpya 😁😁😁

Kada zingine tupambane tu
 
Back
Top Bottom