chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,662
Tanzania tuna Tume ya Utumishi wa Umma. Wakati wa Mzee Ben, Tume hii ilikithiri kwa umahiri.
Nadhani Tume hii pia ifufuliwe ili ijibu hoja za uwajibikaji, badala ya kujificha maofisini. Mi mara ngapi wanafanya audit ya public service kila idara? Pengine makelele haya yanayotokea katika utumishi wa umma, hawa ndio wangempa taarifa Rais na Jamii kwa ujumla
Tuwe kama Mkapa, tujenge taasisi, majitu ya hovyo yakiona taasisi mbovu, yanapitia humohumo ili yaonekane ni ya maana