Tribute to Dr. Geoffrey Mkamilo, Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, Tanzania na Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,608
Wanabodi
download (8).jpeg
download (9).jpeg

23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari, sisi Waandishi wa habari, unapotaka kufanya mahojiano na Wakurugenzi wakuu wa Taasisi za umma, kuna mlolongo, kwanza ufanye appointment ofisini, pili uandike barua, 3. Utume maswali, kisha usubirie kujibiwa!. Sometimes hujibiwi kabisa!. Mimi mwenyewe kuna Mkuu fulani nilimuomba interview, ilipita miaka 5!, sikujibiwa hadi huyo Mkuu akaitwa mahali!. Sasa kuna Mkuu mwingine, huu ni mwaka wa 3, ombi langu la mahojioano liko mezani kwake!.

Lakini kwa Dr. Mkamilo, huhitaji kuandika barua wala kufanya appointment yoyote, mkikutana tuu popote, unamuomba interview na kama hana udhuru, unakubaliwa papo hapo.

Saba Saba ya mwaka jana nimemfanyia vipindi 3 vya 30min each
Program 1

View: https://youtu.be/A-WICmqfTxc?si=eWAjHpg9Y4mgPuFK
Program 2

View: https://youtu.be/zZg6dPkIgY4?si=6i8Ik-o4HoVHX-lU
Program 3

View: https://youtu.be/m8nIRdx8sng?si=AVzDob13vmATmw1j

Na kwenye Maonyesho ya Nane Nane, kati ya taasisi zote za umma zolizoshiriki Maonyesho ya Nane Nane, no TARI pekee,
ndio ilikuwa na banda kwenye Kanda zote 8 za Nane Nane
Kuanzia Nane Nane Kitaifa, Uwanja wa John Mwakangale, Mbeya

Nane Nane Kanda ya Mashariki, Uwanja wa JK Nyerere- Morogoro
Nane Nane Kanda Kaskazini, Themi Hill Arusha.
Nane Nane Kanda ya Kusini, uwanja wa Ngongo Lindi.
Nane Nane Kanda ya Kati Uwanja wa Nzuguni Dodoma.
Nane Nane Nyakabindi Simiyu
Nane Nane Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.

Nimewafanyia Tari vipindi kwenye viwanja vyote hivyo!.

Kwa heri ya kuonana Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, umefanya makubwa Tanzania na Umewafanyia makubwa Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

RIP Dr Mkamilo, umeitendea haki TARI, Umeitendea haki Tanzania, Umewatendea haki Watanzania,
kazi umeimaliza, mwendo umeumaliza.

Paskali
 
Wanabodi
View attachment 2926448View attachment 2926449

Jamani amestafu juzi you hsta mwezi haujaisha tayari na kufariki au aliwekewa sumu
 
Back
Top Bottom