utoro

The Otoro language (Utoro, Dhitoro, Litoro) is a Niger–Congo language in the Heiban family spoken in Kordofan, Sudan.
It is also called Kawama (Kawarma). Dialects are Dugujur, Dukwara, Dorobe, Dogoridi.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    Kigoma: Nusu ya wanafunzi hawajafanya mtihani wa Darasa la Saba, utoro watajwa

    Hali hii inasikitisha sana, yaani nilidhani Wazazi walishabadilika kumbe Bado watu wanaona Elimu Haina maana hadi leo hii, duu. My Take: Kwa Hali hii, sidhani kama kuna siku wajinga watakuja kuisha hapa Tanzania. ======== KIGOMA; WAKATI wanafunzi wa darasa la saba wakimaliza mtihani wa elimu...
  2. Kinoamiguu

    Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  3. A

    Andiko kuhusiana na suala zima la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni

    Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ufaulu, kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoacha shule na kuathiri maendeleo ya taifa kwa ujumla...
  4. kavulata

    Feitoto ni mtoro, kwanini TFF haikumuadhibu kwa kosa la utoro?

    Kwenye sakata la Fei toto TFF imedhibitisha kuwa FEI ni mchezaji halali wa Yanga. Pamoja na maamuzi hayo ya TFF lakini Fei hajaonekana kazini kwa mwajili wake. Hii ina maana kuwa Fei ameikosea Yanga, TFF na wadau wa mpira. Maswali ni mengi sana kuhusu huyu mchezaji, lakini maswali muhimu kuliko...
  5. JanguKamaJangu

    Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
  6. R

    SoC02 Uwajibikaji sio ushamba ni heshima

    (ANDIKO) KUWAJIBIKA SIO USHAMBA, NI HESHIMA. Kutokana na mfumo wetu wa siasa tumeaminishwa lazima mwanasiasa awe msemaji na kiongozi wako, marehemu Mtikila aliona mbali hasa katika kupambania kuwa na mgombea/kiongozi binafsi asiyefungamana na chama cha siasa. Leo tupo katika nchi ambayo maisha...
  7. Kinuju

    Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    By Rehema Matowo Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
  8. John Haramba

    Mbinga: Baraza la Madiwani lamfukuza mfanyakazi kwa utoro

    Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi watatu wa halmashauri hiyo wakiwa na makosa hayohayo. Akisoma maamuzi ya baraza hilo Desdeurius...
Back
Top Bottom