feitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  2. 1

    Salamu zikufikie Mrisho Ngassa, Feitoto hawezi kurushiwa majini kwa sababu michezo hiyo yote kule kwao ndio nyumbani kwao

    Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini. Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo. Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
  3. SAYVILLE

    Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  4. M

    Kwanini Mudathir na Feitoto wametozwa tu Faini, ila kwa akina Chama na Aziz K walifungiwa Mechi 3 na Faini juu kwa Kosa la Kufanana?

    Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba...
  5. sky soldier

    Feitoto na Mudathir wamecheza mechi za jana, wamefutiwa adhabu ya kufungiwa mechi 3 ?

    Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi. Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi. Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada ya tukio la wao kuchelewa kuingia uwanjani. Adhabu ipo ?
  6. GENTAMYCINE

    Feitoto kama unataka kurejea Yanga SC rejea tu

    Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto. Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa...
  7. GENTAMYCINE

    Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
  8. GENTAMYCINE

    Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto' hajaitwa Taifa Stars, sasa nafunguka mazima na tena kwa Kujiamini mno

    Iaminini na Ichukueni hii kwa 100% kwani GENTAMYCINE nikiingia Chimbo nikiibuka nakuja na Info ya uhakika ninayopewa na Wahusika au walio karibu na Mhusika / Wahusika. Ni kwamba Mkurugenzi wa Ufundi ( TD ) wa TFF Osxar Mirambo kutokana na Uyanga wake anatumika kwa kupewa Bakshishi ( Kipoozeo )...
  9. GENTAMYCINE

    Nasubiri kujiridhisha kama sitomuona Feitoto Kikosini Taifa Stars ili nije na mhusika aliyesababisha hayo tumnyooshe

    Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu. Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
  10. K

    Feitoto ana gundu kuachwa tena Stars?

    Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan. Hii inakuwa mara ya pili mfululizo kwa Feitoto kuachwa na Amrouche akitangulia kukosa mechi dhidi ya Niger na Algeria, wakati Taifa Stars...
  11. kavulata

    Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

    Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting. Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli! Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
  12. albab

    Feisal Salum (Feitoto) alikua na hoja

    kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1. Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo mana dogo akaamua kukiamsha. Kuondoka Kwa wachezaji (Sina uhakika) na bench la ufundi kuna kitu...
  13. sky soldier

    Babutale: Zuchu akitaka kuondoka alipe bilioni 5

    Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ? Is it fair?
  14. benzemah

    Feitoto akibusu picha ya Rais Samia

    Mchezaji wa klabu ya Azam Fc, Feisal Salum "FeiToto" ameonekana akiibusu picha rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan tendo ambalo wengi wamelitafsiri kama shukrani kwa Rais Samia. Ipi tafsiri yako kwa tendo hili.
  15. C

    Rais Samia na Feitoto imejengwa precedence gani?

    Kwa heshima kubwa nakusalimu mama yetu Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania, nakupa pongezi kwa mambo makubwa unayoyafanya kwa maslahi ya taifa hili. Mama mpira wa miguu sehemu nyingi duniani umefanikiwa kuleta maridhiano, upendo na umoja hata kama kulikuwa na vita mfano Liberia...
  16. Mr Q

    Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa hatuyajadili tena. Sasa ni Feitoto, Yanga na Medali

    Nchi ambayo raia wake wanasombwa na matukio kila yanapo ibuka ni rahisi sana kuiongoza. Leo hii raia wamesahau muswada unaolenga kuleta mabadiliko kwenye aheria ya masuala ya USALAMA WA TAIFA. Kila mtu sasa ni; Yanga Medali za wachezaji Fainali Tukio la kuitwa Ikulu Mabishano yasiyo na tija...
  17. Dr Matola PhD

    Wanafki wote Duniani huumbuliwa kama Feitoto, hii ipo mpaka Marekani. Yanga ikibeba kombe kuna watu watakufa

    Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip. Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi. Sasa...
  18. John Gregory

    Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  19. N

    Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
  20. GENTAMYCINE

    Shafih Dauda: Wanaovujisha sauti ya Interview ya Feitoto CMG na kutulaumu hawana Akili

    "Ukienda kufanya Interview yoyote ile katika Redio tena katika Kipindi ambacho ni cha muda mchache (kama cha Saa Moja) huwa kunakuwa na Briefing juu ya kile ambacho Mgeni anaenda Kukisema Hewani. Hiyo Sauti inayotumika na kudaiwa imevuja haikuwa ni Mazungumzo Official baina ya Mchezaji na...
Back
Top Bottom