Kigoma: Nusu ya wanafunzi hawajafanya mtihani wa Darasa la Saba, utoro watajwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Hali hii inasikitisha sana, yaani nilidhani Wazazi walishabadilika kumbe Bado watu wanaona Elimu Haina maana hadi leo hii, duu.

My Take: Kwa Hali hii, sidhani kama kuna siku wajinga watakuja kuisha hapa Tanzania.

========

KIGOMA; WAKATI wanafunzi wa darasa la saba wakimaliza mtihani wa elimu ya msingi nchini kote leo, imeelezwa kuwa mkoani Kigoma nusu ya wanafunzi hawakuweza kufanya mtihani huo kwa sababu mbalimbali ikiwamo utoro.

Ofisa Elimu wa Mkoa Kigoma, Paulina Ndigeza akizungumza mjini hapa jana alisema kuwa wanafunzi 53,000 walifanya mitihani yao kati ya wanafunzi 102,948 waliotarajiwa.

Ndigeza alisema pamoja na changamoto hiyo ya idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufanya mtihani, alibainisha kuwa mwamko mdogo wa wazazi kuwasimamia watoto wao imekuwa changamoto kubwa na kwamba mkoa umeshaanza kutekeleza mikakati ya kupambana na changamoto hiyo.

HabariLeo
 
kama ccm iliyo madarakani with all machinery wameshindwa, wasiyo na hizo machinerry wataweza?

Tatizo kubwa ni future. Watu vijijini wanaona vijana wengine waliokuwa bright shule wamesoma, hadi vyuo vikuu lakini wamerudi vijijini wako useless hawana impact yo yote kwa wazazi hata jamii zinazowazunguka, na hicho kinawapelekea baadhi ya watoto na hata baadhi ya wazazi wasiyo na mwamko wasione sababu ya kuhimiza watoto shule.
Sio swala la machinery ni swala la hamasa,mkivimba Kwa Ajili ya ujinga wenu basi mjue mnufaika ni CCM
 
Hiyo tofauti ni kubwa saba. Miaka iliyopita asilimia ilikuwaje? Isijekuwa Kamchape ndio wamesababisha KWA nanna fulani
 
Sio swala la machinery ni swala la hamasa,mkivimba Kwa Ajili ya ujinga wenu basi mjue mnufaika ni CCM
kwa taarifa yako si suala la siasa za vyama kama unavyoona wewe. Maana kila kitu lazima muone namna ya kutukana upinzani. Na ndiyo sababu umeshupalia hilo tu. point ya muhimu hujaishupalia.
I pity your blind ignorance

It is about future. Mzazi wa kijijini mwenye mashamba na mifugo, anapoona vijana waliosoma wamerudi kijijini wako useless. haoni sababu ya kupoteza muda kumsukuma mtoto shuleni.

Suala la ajira/future kwa vijana lazima lishughulikiwe, ndipo watu watahamasika. Na mwenye machinery (CCM) ndiye wa kulaumiwa, (La hujui maana ya machinery), ameshindwa kuweka mifumo thabiti na endelevu ya kuwafanya wananchi wahamasike kuhusu elimu kwa kuweka mikakati thabiti ya kuwainua na kuwaendeleza vijana baada ya masomo.
 
Vijana WENGI wa kigoma wanauza lambalamba kila mkoa fanyeni uchunguzi wenu
Sasa watu wa kigoma wakisoma sisi vyombo tutanunua Kwa akina nani?? Au wasanii tutawatoa wapi?? Machawa je???? Na wapaka rangi wadada???
 
kwa taarifa yako si suala la siasa za vyama kama unavyoona wewe. Maana kila kitu lazima muone namna ya kutukana upinzani. Na ndiyo sababu umeshupalia hilo tu. point ya muhimu hujaishupalia.
I pity your blind ignorance

It is about future. Mzazi wa kijijini mwenye mashamba na mifugo, anapoona vijana waliosoma wamerudi kijijini wako useless. haoni sababu ya kupoteza muda kumsukuma mtoto shuleni.

Suala la ajira/future kwa vijana lazima lishughulikiwe, ndipo watu watahamasika. Na mwenye machinery ndiye wa kulaumiwa, (La hujui maana ya machinery), ameshindwa kuweka mifumo thabiti na endelevu ya kuwafanya wananchi wahamasike kuhusu elimu kwa kuweka mikakati thabiti ya kuinua na kuwaendeleza vijana baada ya masomo.
Kuna siku Moja tulikuwa vijiweni sehem ya kijijini, Kuna Mimi na rafiki yangu mmoja hivi yeye ni graduated degree Madogo wakasema kusoma ni kupoteza muda pesa mfano na Hawa mabrother tuna utofauti Gani ?? Wote tupo Hapa tu tunalima na Mimi wa darasa la 7
 
Nadhani timing ya mtihani, wamegonganisha na tukio lao la kimkoa la "kamchape".
 
Kuna siku Moja tulikuwa vijiweni sehem ya kijijini, Kuna Mimi na rafiki yangu mmoja hivi yeye ni graduated degree Madogo wakasema kusoma ni kupoteza muda pesa mfano na Hawa mabrother tuna utofauti Gani ?? Wote tupo Hapa tu tunalima na Mimi wa darasa la 7
Ni ukweli unaosikitisha sana. Nilikuwa mkoa fulani nikakuta fundi anafanya finishing nyumba fulani na ana vibarua. Nikamuuliza alisomea wapi kazi hii. Akanijibu nikasome ili iweje ikiwa vibarua wangu hawa wawili ni graduate wa sheria?

Niliumia sana.
 
Ni hatari Sana Mzee ?? Lkn Haina namna huo ndo ukweli na uhalisia wa mambo
 
kwa taarifa yako si suala la siasa za vyama kama unavyoona wewe. Maana kila kitu lazima muone namna ya kutukana upinzani. Na ndiyo sababu umeshupalia hilo tu. point ya muhimu hujaishupalia.
I pity your blind ignorance

It is about future. Mzazi wa kijijini mwenye mashamba na mifugo, anapoona vijana waliosoma wamerudi kijijini wako useless. haoni sababu ya kupoteza muda kumsukuma mtoto shuleni.

Suala la ajira/future kwa vijana lazima lishughulikiwe, ndipo watu watahamasika. Na mwenye machinery (CCM) ndiye wa kulaumiwa, (La hujui maana ya machinery), ameshindwa kuweka mifumo thabiti na endelevu ya kuwafanya wananchi wahamasike kuhusu elimu kwa kuweka mikakati thabiti ya kuwainua na kuwaendeleza vijana baada ya masomo.
Upo sahihi mkuu mzazi wa kijijini/maskini hayupo tayari kuuza mali zake tena kwaajili ya kusomesha.

Anawatoto wamekaa nyumbani baada ya kugraduate, tofauti na matarajio aliyokuanayo mzazi.

Kipindi cha regime ya Kikwete ndio wakati ambao wazazi walihamasika kupeleka watoto wao shule kwasababu walikuwa wanaona wahitimu wanapata ajira punde tu baada ya kuhitimu.

Ajira ilitumika kama ndoano, kwamba ukisoma utapata kazi nzuri na kwa wakati huo wa Kikwete unaona kweli watu wanapata ajira.

Ndio maana, wakazi wa vijijini walihamasika kusomesha. Wale watoto waliopelekwa shuleni kwa hamasa ya ajira ndio hawa ambao wamezagaa mtaani bila ajira wala kazi zenye staha.

Utamwambia nini mzazi na mtoto wa kijijini/maskini akuelewe?
 
Hali hii inasikitisha sana, yaani nilidhani Wazazi walishabadilika kumbe Bado watu wanaona Elimu Haina maana hadi leo hii, duu.

My Take: Kwa Hali hii, sidhani kama kuna siku wajinga watakuja kuisha hapa Tanzania.

========

KIGOMA; WAKATI wanafunzi wa darasa la saba wakimaliza mtihani wa elimu ya msingi nchini kote leo, imeelezwa kuwa mkoani Kigoma nusu ya wanafunzi hawakuweza kufanya mtihani huo kwa sababu mbalimbali ikiwamo utoro.

Ofisa Elimu wa Mkoa Kigoma, Paulina Ndigeza akizungumza mjini hapa jana alisema kuwa wanafunzi 53,000 walifanya mitihani yao kati ya wanafunzi 102,948 waliotarajiwa.

Ndigeza alisema pamoja na changamoto hiyo ya idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufanya mtihani, alibainisha kuwa mwamko mdogo wa wazazi kuwasimamia watoto wao imekuwa changamoto kubwa na kwamba mkoa umeshaanza kutekeleza mikakati ya kupambana na changamoto hiyo.

HabariLeo
Elimu ya msingi ni lazima kwa kila mtoto mwenye umri wa kwenda shule. Sasa nafikiri kuna haja ya kuwawajibisha wazazi wa watoto ambao watatega kufanya mtihani au kuonesha utoro wa namna yoyote ile.
 
Hali hii inasikitisha sana, yaani nilidhani Wazazi walishabadilika kumbe Bado watu wanaona Elimu Haina maana hadi leo hii, duu.

My Take: Kwa Hali hii, sidhani kama kuna siku wajinga watakuja kuisha hapa Tanzania.

========

KIGOMA; WAKATI wanafunzi wa darasa la saba wakimaliza mtihani wa elimu ya msingi nchini kote leo, imeelezwa kuwa mkoani Kigoma nusu ya wanafunzi hawakuweza kufanya mtihani huo kwa sababu mbalimbali ikiwamo utoro.

Ofisa Elimu wa Mkoa Kigoma, Paulina Ndigeza akizungumza mjini hapa jana alisema kuwa wanafunzi 53,000 walifanya mitihani yao kati ya wanafunzi 102,948 waliotarajiwa.

Ndigeza alisema pamoja na changamoto hiyo ya idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufanya mtihani, alibainisha kuwa mwamko mdogo wa wazazi kuwasimamia watoto wao imekuwa changamoto kubwa na kwamba mkoa umeshaanza kutekeleza mikakati ya kupambana na changamoto hiyo.

HabariLeo
Huko si ndo kuna akina Kamchape sijui watoa uchawi? Karne ya 21 bado watu wanavuana uchawi!!
 
Ni ukweli unaosikitisha sana. Nilikuwa mkoa fulani nikakuta fundi anafanya finishing nyumba fulani na ana vibarua. Nikamuuliza alisomea wapi kazi hii. Akanijibu nikasome ili iweje ikiwa vibarua wangu hawa wawili ni graduate wa sheria?

Niliumia sana.
Huu ni uzushi wa kujifariji.....
 
Back
Top Bottom