ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usinipite mwokozi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Watanzania wanaotumia viyoyozi (air conditioners) kwenye magari, maofisini na majumbani

    Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumia viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA. Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahimizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za Utotoni: Ushauri kwa vyombo mbalimbali vya Serikali

    Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika. Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
  3. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu katika hili kama familia tumebaki njia panda

    Habari zenu wakuu ?, kwanza napenda kuwapa pole kutokana na uchovu utokanao na majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taif letu . Lakini pia napenda kuchukua nafasi hii kuwakupusha ndugu zangu kuwa Corona ipo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari mbali mbali zinazoweza kutusaidia kujikinga kama...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhari

    Habari I wakuu, ina mchugwa wangu nyumbani huu ni mwaka wa saba hatujawahi kuzaa tatizo nini? kuna rafiki yangu amenishauri nitafute utaalamu wa kupandishia ili uzae. Je, hii kitu ni kweli ipo?
  5. Starseed

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa miaka 20 nahitaji ushauri wa wa kazi nayoweza kufanya kulingana na elimu yangu

    Wakuu nawasilisha kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mnipe ushauri kama mdau wenu. Nilifeli kidato cha nne mwaka 2018 mpaka sasa hivi nipo nipo tu sina cha kufanya naishi na wazazi wangu wote bila kumsahau dada na kaka yangu ambae anasoma chuo hapo UDOM. Mara zote nimekuwa nikiisaidia familia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara

    Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22. Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa mfariji mkuu wa Taifa hili, Rais John Magufuli

    Kupitia forum hii ya JF naomba kuwasilisha ushauri wangu. kwa mjibu wa katiba yetu Rais wa JMT ndio mfariji mkuu, na kwa msingi huo naomba kumshauri raia namba moja Mh. John P. Magufuli. Rais wetu licha ya kuwa msukuma mwenzangu , yeye pia ni mwana Chato mwenzangu na jirani yangu hivyo kwa...
  8. Fohadi

    JamiiForums Tanzania FAMILY MATTER: Nahitaji ushauri, nashindwa kufanya maamuzi...

    Karibuni mnisaidie ushauri maana nipo njia panda.... Mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato cha nne kijijini katika shule moja ya kata huko kanda ya ziwa, nilipata mwaliko kutoka kwa baba yangu mdogo anaeishi DSM alinitaka nikatembee na kubadili mazingira. Mwaliko ule ulikuwa ni kitu...
  9. Ngunya1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka kuhusu tafsiri ya ndoto hizi...

    Ninawasalimu kwa upendo wa Mungu baba. Ndugu zangu juzi mke wangu aliota ndoto yupo msibani analia sana ila ni msiba wa mtu ambae amefariki zamani sanaa leo mimi nimeota nipo sehemu kama hospital au kituo cha kulea watu kuna maiti nyingi sana zina bebwa kwenye machela moyo wangu umefadhaika...
  10. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Ushauri wenu ni muhimu sana. Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili. Wa nne kamaliza kidato cha 4 mwaka jana, katikati hapo miaka 18...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka ya kuanzisha Wilaya ya Kisesa na Katoro

    Nimeona kupitia luninga Wahe. Madiwani wakijadili juu ya uanzishwaji wa Wilaya nilizozitaja hapo juu ya Kisesa na Katoro. Binafsi naishauri Mamlaka inayohusika kuacha kuanzisha Wilaya hizi kwa sababu zifuatazo:- (1) Watueleze wametumia vigezo gani kuanzisha Wilaya hizi. (2) Wilaya ya Kisesa...
  13. koba lee

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Baada ya kufanya kazi miaka 10 bila mafanikio ya kueleweka, nataka kustaafu kwa hiari na kisha kufanya shughuli binafsi

    Natumaini mu wazima tukiwa tunaendelea na ujenzi wa taifa letu pendwa. Nijikite moja kwa moja katika mada, mimi ni muajiriwa katika sekta binafsi katika kampuni flani maarufu sintopenda kuitaja jina. Nimefanya kazi hapo sasa ni mwaka wa tisa nautafuta wa kumi, nikiangalia maendeleo niliyonayo...
  14. future man

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo. Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B. Lengo ni kwenda technical in laboratory technology. Je, naweza chaguliwa?
  15. thee kid

    JamiiForums Tanzania Ushauri sehemu ya kufanyia field ya Procurement and Supply Management

    Habarini Wakuu, poleni na majukumu Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za kufanyia field kulingana na programme yangu ya procurement hususani katika mkoa wa Songwe...
  16. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanye nini katika hili

    Habari Jf, Mimi ni kijana wa kiume, miaka ishirini na sita [26], Nimetoka mkoani na kuja kuishi huku dalisalama kikazi. Kama mjuavyo huaba wa nyumba🏡🏡🏡🏡 za kupanga nikajikuta nimepanga katika nyumba ya watu wengi. Kwa kusamalaizi tu maana wengine ni wavivu wa kusoma ;) ;) ;) Kwenye ile...
  17. Chato tena

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali yangu

    Pongezi kubwa kwa mhe Rais wetu kujenga kilometa nyingi bila kufanya maonyesho ya bila mimi msingepata barabara. pia pongezi nyingi kwa Raisi aliyepo kwa kundelea kuchapa kazi ambayo matunda yake yameonekanana yanaendelea kuonekana. Pamoja na yote hayo hatuwezi kukosa changamoto. Kuna maswali...
  18. Gshtargets

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo 'Car wash' na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?

    Asalaam alaikum. Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Je, Atasoma PCB?

    Habari Jf, Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao; Physics-D B/Mathematics-D Civics-C Chemistry-C Geography-C History-C Biology-B Kiswahili-B English-B Div- II:18 Je anaweza soma PCB
  20. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

    Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua? Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue...
Back
Top Bottom