Nina mpango wa kuikacha Bank ABC nitimkie Equity bank, ushauri wenu wadau

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
6,205
2,000
Juzi kat nimefungua accnt bank ABC tawi la Mwanza lengo ni nipate urahisi wa online transaction. Mara nying nikitaka kufanya kitu huwa napitia maoni ya wadau hapa JF ili nipate undani wa hcho kitu, na hii ilinisadia kuescape kichapo heavy kutoka QNET. This time skupita JF kufatilia na kuona wanaichukuliaje bank ABC nahsi was a fatal mistake nilifanya.

Nilifungua account chap nikadumbukiza kama half million Tsh, kuhusu kadi kukawa na mkanganyiko bi mdada mmoja akaniambia ATM Kadi ni after 3weeks, badae nikaongea na mwamba mmoja yupo mapokezi akaniambia Kadi ni after 3Months or more sababu zinatoka South Africa na nchi ipo locked sababu ya korona.

leo nilitaka nikadumbukize kama one million hvi badae nikaona tyme imeenda so nikapanga Kesho niende, akli ikanijia nipitie JF kuhusu hii bank. Nimepitia baadhi ya nyuzi inaonesha hii bank ipo kisanii na operation zake ni za hovyo, ni kama matapeli japo wanafanya vyema kwenye online transaction.

Nimehofia nisije nikalaza mpunga wangu aisee, nimefikir nikatoe pesa yangu yote Kesho nitimkie EQUITY ambako pia Nina accnt sema nilikuwa nimeikaushia kimtindo nimefuatilia JF pia naona reply Kwa EQUITY zinatia moyo. Sijawaza NMB japo CRDB accnt niliitema Tu baada ya kumaliza chuo n boom kukata.

Naombeni ushauri wadau maoni yangu ni sahihi kwa wale watumaji wa Bank ABC.
 

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,318
2,000
Karibu sana equity bank hutojuta, na ATM card ni hapo hapo au chini ya siku 2 mkuu.
 

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,060
2,000
Me nnazo zote mbili japo BancAbc card yake ime expire ila hawa jamaa kiukweli hawafai.

Japo ukirudishiwa refund inaingia moja kwa moja tofaut na Equity mpaka uangaike kuwajulisha.
 

cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,505
2,000
Ah ah uzuri kuhusu equity account hazina makato ya mwezi. Kwahiyo kahera kako ka forex kakiingua unakakutahivyo hivyo na sasa wana kadi za USD na TZS utasave na kadi unapata mda huo huo. Absa wapo vizuri ilaaccount zao kuendesha gharama sana kwakua no corporate bank
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom