MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 596
Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya mafuta hayana future na bei yake itapungua kwa kasi miaka ijayo.
Nchi zilotoa misimamo ya kusimamisha kutengeneza magari ya mafuta (ICE - Internal combusion Engines zinasita production) kuanzia miaka ya 2025 - 2030 ni kama CHINA, Marekani, Canada, EU n.k. Nashauri rasilimali hii isipewe kipaumbele hususan linapokuja suala la uharibifu wa mazingira na kuhatarisha utalii ambao una future zaidi kuliko mafuta miaka ijayo hapo mbeleni.
Wasalaam