Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta...
Leo tarehe 3 mwezi Machi 2021 ni siku ya usikivu duniani. Hii ni siku ambayo inasherehekewa duniani na kampeni yake inaendeshwa na Ofisi inayojulikana kama “Prevention of Blindness and Deafness” ya Shirika la Afya Duniani (W.H.O)
Jambo kubwa linalofanyika katika siku ya leo ni kukumbushana...
Wakuu, naagiza gari hapa kutoka Japan, Harrier tako la nyani ya 2008 kwa usd 5700, km 61k, je nilipie ama napigwa.
Naomba uzoefu wenu kwenye hili.
Ahsante
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Mataifa mengi ya Ulaya yameanza kuwashauri Raia wake kuvaa barakoa mbili ili kuongeza umadhubuti wa kukulinda dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus
Je, ni Wakati gani wa kuvaa barakoa mbili
Unapotembelea duka, duka la dawa, daktari au hospitali yoyote
Katika mkusanyiko kwenye bustani pamoja na...
Salaam,
Juzi umepokea hundi yenye thamani zaidi ya 700ml. Kutoka kampuni yenye migodi ya Buzwagi na Kakola ya Twiga Baricck Gold Mine.
Ni fedha nyingi hizo pamoja na fedha zingine unazokusanya katika vyanzo vyako vya mapato.
Ushauri wangu kwako, najua una changamoto nyingi katika wilaya...
Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania.
Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko.
Kila mtu anajua sasa hivi...
Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.
Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
Hatuwezi tukabishana hadi kuku warudi bandani kwamba Chadema bado ni chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania hata kama hakina kinara wa upinzani. Hata hivyo lazima Chadema kitafakari kwa kina na mapana kitawezaje kuishi kama chama kuelekea 2025?
Mambo kadhaa yanapaswa yafuatwe kama bado Mbowe anataka...
Kwa mujibu wa mchakato wa utafiti wa kisayansi, bila kuchukua vipimo kwa ajili ya kuthibitisha usahihi wa rai (hypotehsis) kwamba Tanzania kuna UVIKO ni vigumu kukanusha usahihi wake.
Taifa lilifanya vizuri miaka ya 1980 pale janga la VVU na UKIMWI lilipozuka.
Tuliunda TUME YA TAIFA YA...
Habarini za uzima wakuu, poleni na majukumu yanayo wazonga, mungu atupiganie kwenye maradhi yeyote yale.
naombeni niwape story fupi kabisa ndeni mnipe ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu binafsi ambayo yatatokana na mawazo yenu bora kabisa.
Mimi nilitolewa kijijini na shangazi yangu kuletwa...
Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumia viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA.
Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahimizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi...
Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika.
Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
Habari zenu wakuu ?, kwanza napenda kuwapa pole kutokana na uchovu utokanao na majukumu mbali mbali ya ujenzi wa taif letu . Lakini pia napenda kuchukua nafasi hii kuwakupusha ndugu zangu kuwa Corona ipo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari mbali mbali zinazoweza kutusaidia kujikinga kama...
Habari I wakuu, ina mchugwa wangu nyumbani huu ni mwaka wa saba hatujawahi kuzaa tatizo nini?
kuna rafiki yangu amenishauri nitafute utaalamu wa kupandishia ili uzae.
Je, hii kitu ni kweli ipo?
Wakuu nawasilisha kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mnipe ushauri kama mdau wenu. Nilifeli kidato cha nne mwaka 2018 mpaka sasa hivi nipo nipo tu sina cha kufanya naishi na wazazi wangu wote bila kumsahau dada na kaka yangu ambae anasoma chuo hapo UDOM.
Mara zote nimekuwa nikiisaidia familia...
Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22.
Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
Kupitia forum hii ya JF naomba kuwasilisha ushauri wangu.
kwa mjibu wa katiba yetu Rais wa JMT ndio mfariji mkuu, na kwa msingi huo naomba kumshauri raia namba moja Mh. John P. Magufuli.
Rais wetu licha ya kuwa msukuma mwenzangu , yeye pia ni mwana Chato mwenzangu na jirani yangu hivyo kwa...
Karibuni mnisaidie ushauri maana nipo njia panda....
Mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato cha nne kijijini katika shule moja ya kata huko kanda ya ziwa, nilipata mwaliko kutoka kwa baba yangu mdogo anaeishi DSM alinitaka nikatembee na kubadili mazingira. Mwaliko ule ulikuwa ni kitu...
Ninawasalimu kwa upendo wa Mungu baba.
Ndugu zangu juzi mke wangu aliota ndoto yupo msibani analia sana ila ni msiba wa mtu ambae amefariki zamani sanaa leo mimi nimeota nipo sehemu kama hospital au kituo cha kulea watu kuna maiti nyingi sana zina bebwa kwenye machela moyo wangu umefadhaika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.