Nahitaji kazi ya part time, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza

Sawa..unaweza ukajihusisha na biashara zako binafsi wakti huo unasoma..unaweza ukazani vocha za kurusha kwa wanafujnzi wenzanjo, unaweza ukauza mwandani nk..
 
Yaani wenzio tuna miaka kitaa. Subiri kwanza umalize chuo wala usiwe na haraka
 
Mdgo angu ww unatakiwa uwe self made fursa zako mwenyewe degree mtaani ziko nyingi mnoo zinatumika kwenye ku bet na kuendesha bodaboda saa hii
 
Habari wakubwa heshima yenu!

Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo cha utumishi nahitaji ushauri wa kuhusiana na ajira ya part time itayoweza kunisaidia kupata pesa ndogo ndogo kwa ajili ya matumizi yangu na kuwapunguzia gharama wazazi.

Nipo Dar es Salaam, Kigamboni!

Karibuni
Hata semister examination haujafanya unataka ajira ?
 
Habari wakubwa heshima yenu!

Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo cha utumishi nahitaji ushauri wa kuhusiana na ajira ya part time itayoweza kunisaidia kupata pesa ndogo ndogo kwa ajili ya matumizi yangu na kuwapunguzia gharama wazazi.

Nipo Dar es Salaam, Kigamboni!

Karibuni 🙏
Ungekuwa chuo kikuu ungepata, maana ma Dkts/professors wana madili mengi. Hata hivyo jaribu kuongea na waalimu wa hapo chuoni
 
Kama unavipesa kidogo hata laki 1 unaweza kufanya biashara yako mwenyewe ya nguo za mtumba unapoint ilala boma kwa elfu 2 hadi elfu 3 then unawauzia wenzio,....

nashauri ziwe nguo za kike magauni na skirt kwaajiri ya kuvaa muda wa lecture......

kwamaana ajira inaweza kuwa ngumu kuipata hasa wewe wa part time....

Biashara nyingine unazoweza zifanya kwa huo mtaji wa laki 1

Kununua vocha na kuuza, kuuza bites, kuuza matunda nje ya eneo la chuo etc
 
It's annoying haa!
Watu wamekujibu kwa hasira sio?
Tusamehe!
Weka Boom ikifikia 1300000 nunua pikipiki used hapo Dar itakuwa bado mpya Sana. Kisha piga bodaboda Kama sio mdau wa GPA nono ila Kama unataka GPA Kubwa subiri umalize.
Bodaboda ndo Kila kitu kitaa.
 
Mbon kam washaur mna stresss!!? Dogo kauliza jambo ambalo 80% ya wanfunzi wa miaka hii wanliwazaa. Muhim dogo sevu Tu hilo bum usianzish biashar wal nn tunza hela UTANIKUMBUKA
Angalau wewe umemfariji mkuu!!
 
It's annoying haa!
Watu wamekujibu kwa hasira sio?
Tusamehe!
Weka Boom ikifikia 1300000 nunua pikipiki used hapo Dar itakuwa bado mpya Sana. Kisha piga bodaboda Kama sio mdau wa GPA nono ila Kama unataka GPA Kubwa subiri umalize.
Bodaboda ndo Kila kitu kitaa.
hahaha Wape somo sie boda kulaza 50 sio tabu siku hizi wakati nimemaliza nilijiliwa sehem mshahara 500k manyanyaso kibao

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Unaweza ukafunga na hizo karanga km ulivyoshauriwa,ukaongezea na ubuyu kule kariakoo ukienda wanapima kwa kilo umeandaliwa kabisa tayari kwa kuliwa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom