Naombeni ushauri juu ya mradi huu wa Elimu

Mar 3, 2020
70
39
Mimi ni kijana nimehitimu shahada yangu ya Bachelor of science with Education Geography and Biology mwaka 2018 nimeona nifungue fursa hii ili kuweza kupata kianzio ili badae nijenge kituo bora kabisa kinachohusu huduma ya Elimu!

Project hii niko na mwalimu mwenzangu hivyo tunaomba support na ushauri wa kipi tukiongeze au kupunguza kufanikisha ndoto hii

Programme wenyewe ndo hii🔔

HOME TUITION PROGRAMME (HTP)
IN DAR ES SALAAM 0713766665/0620875813
#Likizo Time Muda ndo huo
Mwalimu wa Geography and Biology kwa wanafunzi wa 🌏FORM 1-4
🌏 QT AND PRIVATE CANDIDATE (PC)
🇹🇿Wanaopenda kusomea nyumbani (Home tuition)
🇹🇿Wale wafanyakazi Wanaopenda kurudia Mitihani
Kwa Walioko Dar wasiliana nami

✍Bei zetu ni nafuu sana, kwa Somo MOJA ✍✍✍
⏰Unaweza kulipia kwa mfumo
📕MATHEMATICS FORM 1-4 @Topic 15,000/=
📕PHYSICS Form 1-2 @Topic 15,000/= Form 3&4 20,000/=
📗Geography form 1-4 @Topic 15,000/=
📗Biology form 1-2 @Topic 15,000/= Form 3&4 20,000/=
📗Chemistry form 1-2@topic 15,000/= and form 3&4 20,000/=
📗English per topic 20,000/=
📓HISTORY
📕CIVICS
⏰Unaweza kulipia kwa week 20,000/=
⏰Unaweza kulipia kwa mwezi 70,000/=
✍Ushauri kuhusu namna bora ya kusoma ili ufaulu Vizur ni BURE HAKUNA MALIPO
✍Weekly Test kwa kila Somo hii ni BURE
✍Wasiliana nami 0620875813/0713766665
✍Save Time...Home Tuition is the best option📝💼

🔔MAHALI TULIPO KWA WANAOPENDA KUSOMEA KITUON TUKO KIMARA - BUCHA
 
Back
Top Bottom