ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Ushauri wenu ni muhimu sana. Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili. Wa nne kamaliza kidato cha 4 mwaka jana, katikati hapo miaka 18...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka ya kuanzisha Wilaya ya Kisesa na Katoro

    Nimeona kupitia luninga Wahe. Madiwani wakijadili juu ya uanzishwaji wa Wilaya nilizozitaja hapo juu ya Kisesa na Katoro. Binafsi naishauri Mamlaka inayohusika kuacha kuanzisha Wilaya hizi kwa sababu zifuatazo:- (1) Watueleze wametumia vigezo gani kuanzisha Wilaya hizi. (2) Wilaya ya Kisesa...
  4. koba lee

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Baada ya kufanya kazi miaka 10 bila mafanikio ya kueleweka, nataka kustaafu kwa hiari na kisha kufanya shughuli binafsi

    Natumaini mu wazima tukiwa tunaendelea na ujenzi wa taifa letu pendwa. Nijikite moja kwa moja katika mada, mimi ni muajiriwa katika sekta binafsi katika kampuni flani maarufu sintopenda kuitaja jina. Nimefanya kazi hapo sasa ni mwaka wa tisa nautafuta wa kumi, nikiangalia maendeleo niliyonayo...
  5. future man

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo. Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B. Lengo ni kwenda technical in laboratory technology. Je, naweza chaguliwa?
  6. thee kid

    JamiiForums Tanzania Ushauri sehemu ya kufanyia field ya Procurement and Supply Management

    Habarini Wakuu, poleni na majukumu Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za kufanyia field kulingana na programme yangu ya procurement hususani katika mkoa wa Songwe...
  7. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanye nini katika hili

    Habari Jf, Mimi ni kijana wa kiume, miaka ishirini na sita [26], Nimetoka mkoani na kuja kuishi huku dalisalama kikazi. Kama mjuavyo huaba wa nyumba🏡🏡🏡🏡 za kupanga nikajikuta nimepanga katika nyumba ya watu wengi. Kwa kusamalaizi tu maana wengine ni wavivu wa kusoma ;) ;) ;) Kwenye ile...
  8. Chato tena

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali yangu

    Pongezi kubwa kwa mhe Rais wetu kujenga kilometa nyingi bila kufanya maonyesho ya bila mimi msingepata barabara. pia pongezi nyingi kwa Raisi aliyepo kwa kundelea kuchapa kazi ambayo matunda yake yameonekanana yanaendelea kuonekana. Pamoja na yote hayo hatuwezi kukosa changamoto. Kuna maswali...
  9. Gshtargets

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo 'Car wash' na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?

    Asalaam alaikum. Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
  10. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Je, Atasoma PCB?

    Habari Jf, Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao; Physics-D B/Mathematics-D Civics-C Chemistry-C Geography-C History-C Biology-B Kiswahili-B English-B Div- II:18 Je anaweza soma PCB
  11. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

    Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua? Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika hapa tafadhali

    Una kiwanja Bunju lakini kwa sasa unaishi kwa kaka. Umepata mchumba mnategemea kufunga ndoa. Bugdet ya harusi mliyonayo mkononi ni milioni 10. Hii ni pesa wachumba waliweka kwa pamoja kwa miaka miwili. Hawataki michango wameomba zawadi kwa atakaeweza. Mama wa mke anataka watumie milioni 2...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kitima: Baba Mtakatifu ametutaka tufuate ushauri wa Wanasayansi kuhusu ugunduzi wa chanjo

    Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa wanasayansi kuhusiana na ugunduzi wa chanjo za Corona. Dkt. Kitima amesema wao kama Kanisa watachukua...
  14. Darucha

    JamiiForums Tanzania Ameninunia baada ya dada yake kukubali ombi langu

    Huyu ni jamaa yangu ambaye tumejuana hata mwaka haujaisha. Kiufupi jamaa anajiona janja Sana wakati hela Hana nakumbuka siku moja alinikaribisha kwao basi nikatimba maskani mwao ile kuingia nikakutana na mtoto mmoja hatari kumuuliza ni Nani aniambia ni sister wangu Daaah mtoto mzuri mpaka...
  15. FWBTZ

    JamiiForums Tanzania Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January. Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Tunduma, je kampuni gani ina mabasi ya Scania? Ushauri tafadhali

    Kwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable. Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya Mchina mtu unafika ukiwa umechoka. Bujibuji na Erythrocyte ushauri Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kuhusu baba yangu

    Wazee Majuzi kati nimeenda hapa home kwa wazazi . Sasa nimesajiri line mpya juzi tu nikaona ngoja nimjaribu huyu mzee. Nikaandika text kwenda kwake. "Vipi ile hela naisubiri me Suzy" Nikaona tu mzee katabasamu baada ya text kuingia ..na akaondoka. Baada ya muda imeingia 50k cash. Sasa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Gari lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani

    Gari lenye umbo la SUV kwa matumizi ya nyumbani lipi lenye ubora na gharama nafuu?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Mshaurini huyu jamani... MCHUMBA WANGU ANANISHIRIKISHA KATIKA KILA KITU CHA MAENDELEO ANACHOFANYA! Mimi ni binti wa miaka 28, sijaolewa ila nina mchumba ambaye yeye ana miaka 30, nampenda sana na yeye anaonyesha kunipenda kwakuwa kashanitambulisha mpaka kwao na kwetu pia nimeshamtambulisha...
Back
Top Bottom