upungufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fallback

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa zana

    Hii haina hata haja ya salamu. ... Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, naomba kuwakumbusha wahusika wa kuzisambaza Zana maeneo tofauti tofauti ya Nchi kwenye vyuo, guest house, lodge, ofisi za watendaji wa kata, zahanati, mahospitalini, nk kwamba sasa Zana zimehadimika yamebakia maboksi matupu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Nyamo-Hanga: Uzalishaji unaendelea vizuri, kuna upungufu wa Megawati 300-350 TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga amefanya ziara katika Kituo kidogo cha Kuzalisha Umeme kwa Gesi Asilia kilichopo Tegeta Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 2, 2023 Akizungumza baada ya kukamilisha ziara hiyo Naibu Waziri amesema Kituo hicho chenye mitambo mitano inayozalisha Megawati...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kupiga na kutesa wanyama wasio na hatia wala akili ni kiashiria moja wapo cha kuwa na upungufu wa akili (Mbwiga)

    Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  6. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

    Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu. Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

    Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Citizen: Shisha na 'e-ciggarates' zinasababisha upungufu nguvu za kiume & changammoto ya uzazi kwa wanawake

    Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayo

    Serikali inapaswa kuanzisha matumizi ya vyanzo mbadala vya nishati, kama vile gesi asilia. Kuanzia kwenye magari yote ya serikali, kutekeleza matumizi ya Gesi ya Asilia Iliyosindikwa (CNG) kutapunguza matumizi makubwa ya fedha za kigeni zinazotumika kuagiza mafuta. Hatua hii inaweza kusababisha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  12. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ina upungufu wa umeme, lakini tunakwenda kujenga power plant ya 20 megawatts Uganda

    Hii ni kitu gani? --- I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and...
  13. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  15. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hospitali Hazipaswi kuwa na Upungufu wa Damu Salama

    Utangulizi Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia kampeni ya kuchangia damu kwa hiari kwa ajili ya kuwekeza katika Benki ya Damu Salama, kwa ajili ya kuwaongezea wagonjwa (wenye uhitaji huo) mahospitalini. Katika pita pita yangu, nimebahatika kuchangia damu kwa hiari mara mbili. Hivi karibuni...
  16. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  17. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
  18. Nihilist

    JamiiForums Tanzania Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

    Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo. Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia. Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
Back
Top Bottom