Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

Benderea

Senior Member
May 25, 2021
140
313
Salaam wanabodi,

Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha.

Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na hivo kupelekea bei kupanda.

Wakati wa Mwendazake sikusikia hata siku moja matatizo ya namna hii. Ingawaje nakumbuka wakati wa Mzee Kikwete kuna wafanya biashara walitikisa kiberiti kwa kugoma kuuza mafuta eti mpaka walichokitaka kitekelezwe.

Namshauri Mama yetu hawa jamaa asiwachekee kabisa watatusumbua sana. Maghala yao ya kuhifadhi mafuta yanafahamika yalipo ni kupeleka askari tu na kusimamia uuzaji wa mafuta mpaka yaishe na ataegundulika kuhujumu juhudi za usambazaji unaotambulika rasmi akamatwe na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi, hawa wapuuzi ndio watanyooka!

Asietaka kufanya biashara nchi hii aondoke aende kule anakoona atafanya vile anavotaka yeye.

Mama yangu, hivi kweli hawa akina sijui .....OIL, OIL ....... , OIL ........ wanaichezea serekali kweli?

Namalizia kwa kuishauri serikali isiwachekee hawa watu hata kidogo
 
Ukweli ni kwamba nchi ipo kwenye aibu kuu ya kudharauliwa na wenye pesa kwa kufanya wanayojisikia.

Mfano mzuri ni wafanya biashara wa nishati ya mafuta. Jamaa wameamua kumshika popote watakapo mwenye madaraka huku wakitambua hana cha kuwafanya.

Mbaya zaidi ukute hata aibu haoni!
 
serikali ya hovyo kwani hii issue ilikuwepo mwezi uliopita na sasa imetokea tena kama hakuna viongozi inawezekana viongozi hadi ngazi ya juu wanafaidika na mafuta

hii issue ilitakiwa isijirudie tena hatuna raisi watu wa usalama hakuna polisi hakuna

huu ni uzembe wa serikali ya mama yenu na taarifa anazo
 
Salaam wanabodi,

Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha.

Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na hivo kupelekea bei kupanda.

Wakati wa Mwendazake sikusikia hata siku moja matatizo ya namna hii. Ingawaje nakumbuka wakati wa Mzee Kikwete kuna wafanya biashara walitikisa kiberiti kwa kugoma kuuza mafuta eti mpaka walichokitaka kitekelezwe.

Namshauri Mama yetu hawa jamaa asiwachekee kabisa watatusumbua sana. Maghala yao ya kuhifadhi mafuta yanafahamika yalipo ni kupeleka askari tu na kusimamia uuzaji wa mafuta mpaka yaishe na ataegundulika kuhujumu juhudi za usambazaji unaotambulika rasmi akamatwe na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi, hawa wapuuzi ndio watanyooka!

Asietaka kufanya biashara nchi hii aondoke aende kule anakoona atafanya vile anavotaka yeye.

Mama yangu, hivi kweli hawa akina sijui .....OIL, OIL ....... , OIL ........ wanaichezea serekali kweli?

Namalizia kwa kuishauri serikali isiwachekee hawa watu hata kidogo
Waliomuweka kwenye kiti si ndiyo hao Wafanyabiashara wakiwemo wa mafuta.Atawafanya nini wakati na yeye ni sehemu Yao!
 
Salaam wanabodi,

Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha.

Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na hivo kupelekea bei kupanda.

Wakati wa Mwendazake sikusikia hata siku moja matatizo ya namna hii. Ingawaje nakumbuka wakati wa Mzee Kikwete kuna wafanya biashara walitikisa kiberiti kwa kugoma kuuza mafuta eti mpaka walichokitaka kitekelezwe.

Namshauri Mama yetu hawa jamaa asiwachekee kabisa watatusumbua sana. Maghala yao ya kuhifadhi mafuta yanafahamika yalipo ni kupeleka askari tu na kusimamia uuzaji wa mafuta mpaka yaishe na ataegundulika kuhujumu juhudi za usambazaji unaotambulika rasmi akamatwe na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi, hawa wapuuzi ndio watanyooka!

Asietaka kufanya biashara nchi hii aondoke aende kule anakoona atafanya vile anavotaka yeye.

Mama yangu, hivi kweli hawa akina sijui .....OIL, OIL ....... , OIL ........ wanaichezea serekali kweli?

Namalizia kwa kuishauri serikali isiwachekee hawa watu hata kidogo
Kama unaongea na huyo ajuza unapoteza mda wako
 
Back
Top Bottom