umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Umuhimu wa kuwafundisha vijana mahusiano yasiyo na hizi ngono zembe

    Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
  2. Pascal Mayalla

    Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona. Naomba uanze bandiko hili kwa hii clip Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa...
  3. Sky Eclat

    Umuhimu wa chumvi enzi za Dola ya Warumi

    Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni mfano wa vyakula vilivyo hifadhiwa na vilidumu kwa muda mrefu. Chumvi iliitwa dhahabu nyeupe na...
  4. N'yadikwa

    Kwanini ajenda ya kupanda miti ni muhimu sana kwa sasa

    Hali ya upungufu mkubwa wa mvua imeshatukabili, maeneo mengi ya nchi yetu January hii ya 2022 yanashuhudia uhaba mkubwa wa mvua. Jitihada zetu kama Tanzania kwenye upandaji na utunzaji miti bado sio za kiwango cha kuridhisha. Uvunaji miti holela kwa ajili ya makaa na kuandaa mashamba mapya...
  5. K

    Kuna umuhimu wa afya za viongozi wa ngazi za juu ziwekwe wazi kila baada ya kipindi fulani?

    Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
  6. Sijali

    Kwa wale wasiojua umuhimu wa Katiba nzuri

    Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima. Nilitoa sababu tano za na hoja za kupendelea zaidi (Constitutional Ammendment). Leo nataka tu...
  7. B

    Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

    Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
  8. C

    Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  9. Naipendatz

    Umuhimu wa usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

  10. Kamanda Asiyechoka

    Huko Twitter leo tumeacha kuzungumzia kesi ya Chairman Mbowe, mbona tunajisahau kwa masuala yasiyo na umuhimu kwetu?

    Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary. Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo. My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
  11. The Palm Tree

    Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

    Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake. Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
  12. Chendembe

    Kuna umuhimu wowote wa mabucha yetu Tanzania kuuza nyama pamoja na mifupa?

    Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki. Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji. Uwa...
  13. L

    Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  14. Doctor Mama Amon

    Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  15. mama D

    Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  16. R

    Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

    Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodaiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa. Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wake haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo...
  17. MK254

    Umuhimu wa Kenya kama kitovu cha TEHAMA Afrika, rais Biden amteua kigogo wa taaluma kuwa balozi Kenya

    Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake..... US President Joe Biden has...
  18. Masokotz

    Umuhimu na namna ya kuweka Malengo ya Mwaka/Maisha

    Habari za wakati huu; Maisha ni safari. Katika safari hii tunapitia mengi,mema na mabaya.Wakati mwingine kuna ambayo yanatupata ambayo tunaweza kuyazuia/kuyafanya yawe vile tupendavyo na kuna wakati yanakuwa nje ya uwezo wetu. Ili kuishi maisha yako ni muhimu na lazima kuwa na mipango au...
  19. Kurunzi

    Umuhimu wa Maamuzi ya leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Msingi wa Ling’wenya na wakili wake kuandika barua kwa RPC Ilala kuomba nyaraka za uthibitisho dhidi ya shahidhi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo ndogo ni kwamba shahidi huyo hakuwa Central Dar es Salaam, mwaka 2020. Hivyo kama mahakama itatupilia mbali pingamizi la Serikali, na...
  20. T

    Nini umuhimu wa wadhamini kwa mgombea wa Urais?

    Mara nyingi huwa nasikia mgombea urais ni lazima spate saini za watu asilimia kadhaa Bara na Zanzibar. Lengo huwa ni nini wakati akishinda Katiba inamlinda kwa kinga ya sheria ya mazuzu. Kwanini asiwe anasainiwa na taasisi mbalimbali kwa niaba ili akikiuka/kuvunja Katiba ashitakiwe?
Back
Top Bottom