Ni kero katika jamii lakini hawa vijana mabishoo nao pia wana umuhimu wao.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Kero zaoa mara nyingi ni kuwa wavivu, kuvuta bangi, kukataa mimba, n.k.

umuhimu wao sasa.


mimi hawakubali sana maana ni kiboko ya nyodo
Hawa ndio wale wanajua kuwanyoosha vile vidada vi sley Queen vya mjini wanavipa mimba vinarudi bushi kulea.
Yani hao ndio wanajua kupunguza speed ya viruka njia

Ukijifanya mjuwaji wa kuchepuka na mabinti wa mtaani utachapiwa mkeo ama mtoto wako wa kike tena watapeana zamu.

Ukipenda sifa wanakupamba wewe unatoa pesa na bia una wanunulia mwenyewe

Usijaribu kuwadharau hawa madogo misheni town zote wanazijua
 
Back
Top Bottom