umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajenda ya kupanda miti ni muhimu sana kwa sasa

    Hali ya upungufu mkubwa wa mvua imeshatukabili, maeneo mengi ya nchi yetu January hii ya 2022 yanashuhudia uhaba mkubwa wa mvua. Jitihada zetu kama Tanzania kwenye upandaji na utunzaji miti bado sio za kiwango cha kuridhisha. Uvunaji miti holela kwa ajili ya makaa na kuandaa mashamba mapya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa afya za viongozi wa ngazi za juu ziwekwe wazi kila baada ya kipindi fulani?

    Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
  3. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wasiojua umuhimu wa Katiba nzuri

    Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima. Nilitoa sababu tano za na hoja za kupendelea zaidi (Constitutional Ammendment). Leo nataka tu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

    Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  6. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huko Twitter leo tumeacha kuzungumzia kesi ya Chairman Mbowe, mbona tunajisahau kwa masuala yasiyo na umuhimu kwetu?

    Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary. Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo. My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

    Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake. Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
  9. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wowote wa mabucha yetu Tanzania kuuza nyama pamoja na mifupa?

    Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki. Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji. Uwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  12. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

    Ni kama vile chadema ndio alikuwa mlengwa wa kikao cha leo kinachodaiwa kuwa mkutano wa wadau wa siasa na msajili wa vyama vya siasa. Kimantiki ni kuwa kama mtu hana umuhimu ktk mkutano au jambo fulani ni kumpotezea tu maana uwepo wake au ukosefu wake haubadilishi lengo la jambo au mkutano huo...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kenya kama kitovu cha TEHAMA Afrika, rais Biden amteua kigogo wa taaluma kuwa balozi Kenya

    Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake..... US President Joe Biden has...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Umuhimu na namna ya kuweka Malengo ya Mwaka/Maisha

    Habari za wakati huu; Maisha ni safari. Katika safari hii tunapitia mengi,mema na mabaya.Wakati mwingine kuna ambayo yanatupata ambayo tunaweza kuyazuia/kuyafanya yawe vile tupendavyo na kuna wakati yanakuwa nje ya uwezo wetu. Ili kuishi maisha yako ni muhimu na lazima kuwa na mipango au...
  16. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Maamuzi ya leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Msingi wa Ling’wenya na wakili wake kuandika barua kwa RPC Ilala kuomba nyaraka za uthibitisho dhidi ya shahidhi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo ndogo ni kwamba shahidi huyo hakuwa Central Dar es Salaam, mwaka 2020. Hivyo kama mahakama itatupilia mbali pingamizi la Serikali, na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa wadhamini kwa mgombea wa Urais?

    Mara nyingi huwa nasikia mgombea urais ni lazima spate saini za watu asilimia kadhaa Bara na Zanzibar. Lengo huwa ni nini wakati akishinda Katiba inamlinda kwa kinga ya sheria ya mazuzu. Kwanini asiwe anasainiwa na taasisi mbalimbali kwa niaba ili akikiuka/kuvunja Katiba ashitakiwe?
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Umuhimu na Mantiki ya Rais kusindikizwa na kupokelewa na lundo la Waandamizi akisafiri na akirejea kutoka nje ya nchi

    Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa? KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
Back
Top Bottom