umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Mlio kuwa mnamponda Moloko leo mmeona umuhimu wake?

    Jesus Moloko ana sifa kuu mbili. 1. Ni winga mwenye mbio. 2. Ana kismati sana. Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
  2. farajagastomlamba

    Umuhimu wa kutunza kumbukumbu au historia

    Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya. Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k ina/ana/una/kina/linatakiwa kuwa na kumbukumbu au historia ya maandishi, picha na vitu mbalimbali. Historia...
  3. Data mining

    SoC02 Umuhimu wa kuwa na vituo afya vinavyosafiri

    Maelezo ya gari tiba linalo safiri Kwa maelezo zaidi vituo afya vinavyo safiri ni magari maalumu yanayotoa huduma moja kwa moja kwenye jamii husika yakiwa na idara mbalimbali za matibabu na wataalamu wa huduma kutoka eneo moja hadi lingine. Ni magari ambayo yatakuwa yana safiri katika maeneo...
  4. JanguKamaJangu

    Umuhimu wa kunyonyesha mara baada ya kujifungua

    Watoto wachanga wanapaswa kuanza kunyonyeshwa maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kuzaliwa ili maziwa yaanze kutoka mapema. Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wanaeleza kuwa inashauriwa mara baada ya kujifungua mama na mtoto wagusane ngozi kwa ngozi ili kusaidia maziwa kutoka na...
  5. Sky Eclat

    Umuhimu wa wanasesere na michezo mingine ya watoto katika sehemu za huduma

    Michezo inasaidia watoto kuwachangamsha, kuwapa ubunifu na kuwafikirisha. Katika duniani ya mtoto mwana sesere si tu kifaa cha michezo bali anaweza kuwa pacha wake kimawazo, atataka ale nae na alale nae. Wazazi wengi kutokana na ugumu wa maisha au kutokujua hawaoni umuhimu wa kununua vifaa vya...
  6. PAZIA 3

    SoC02 Starehe muhimu za mwanadamu na umuhimu wake Katika saikolojia

    Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS). 1. MAPENZI 2. PESA 3.CHAKULA 4. MZIKI 1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au...
  7. C

    SoC02 Elimu taka isiyopewa umuhimu

    ELIMU TAKA ISIYOPEWA UMUHIMU (picha kutoka google photo) UTANGULIZI Taka taka kwa mujibu wa wikipedia huru ni Taka au taka taka (kwa Kiingereza: waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki ya vitu, ni yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo...
  8. RANGOE

    Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Habari wakuu... Naomba Kuuliza, kama nina AVN namba kuna umuhimu wa Kutumia Cheti cha Diploma Kuomba Mkopo elimu ya juu HESLB?
  9. B

    Kwa rushwa ilivyotamalaki, PCCB na wengine wa hivyo wana umuhimu gani kuendelea kuwapo?

    Nilileta uzi huu: Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni? Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
  10. Abdideol

    SoC02 Huu ni utumwa katika Elimu

    Huu ni Utumwa Katika Elimu. Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani. Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
  11. B

    Je, kuna umuhimu wa mapinduzi ya viwanda nchini Tanzania?

    HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
  12. Theorist Mosses

    SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    (Pichani ni mwana anga Wa NASA) Utangulizi maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya. Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
  13. Sky Eclat

    Umuhimu wa siku ya kuzaliwa kwa mtoto (birthday)

    Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu. Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
  14. Rashda Zunde

    Umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi

    1. Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa; 2. Taarifa za idadi ya watu husaidia katika mamlaka za wilaya katika...
  15. Theb

    SoC02 Umuhimu wa Mikataba na faida za kusimamia mikataba katika utendaji nchini

    Andiko langu litakuwa katika sehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza itakuwa ni utangulizi hapa nitaelezea maana ya mikataba na faida ya mikataba, sehemu ya pili nitaelezea mikataba iliyoleta migogoro au sintofahamu katika mambo mbali mbali nchini. Sehemu ya tatu itakuwa ya mwisho hapo nitatoa ushauri...
  16. M

    Kuna umuhimu gani wa kuwa na vioo vinavyofunguka na kufunga katika madirisha ya mabasi?

    Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha. Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza. Watu mnasafiri muda mrefu bila hewa mpya kuingia ndani ya basi madhara yake ni kuumwa kichwa na...
  17. Rashda Zunde

    Umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi

    Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wana mahitaji mbalimbali, hivyo kupitia sensa itakuwa sehemu sahihi ya kushughulikiwa changamoto zao, baada ya kukamilika kwa utaratibu huo. Kitendo cha kuwaficha wenye ulemavu hao kutawakosesha haki yao ya msingi katika shughuli za maendeleo zitakazokuwa...
  18. Rashda Zunde

    Umuhimu wa sensa kwa Rais Samia

    Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi anayoiongoza. Alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakufunzi wa sensa wa ngazi ya taifa wanaoendelea...
  19. Rashda Zunde

    Umuhimu wa Pori Tengefu kwa Ikolojia ya Serengeti

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia (World Heritage Site - UNESCO) si kwa ajili ya ardhi yake bali kuwepo kwa makundi makubwa ya wanyama wahamao, maarufu kama “the Great Serengeti wildebeest migration”. Mzunguko huu kwa kiasi kikubwa uko upande wa Tanzania na...
  20. Saidi gawa

    Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
Back
Top Bottom