Kuna umuhimu wa kuajiri wasomi Tanzania?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari.

Upo wakati watanzania walilalamika majeshi yanapotoa nafasi za KAZI Kwa wahitimu wa kidato Cha nne ambao walifauli Kwa wastani mdogo. Hata Wananchi wasio na elimu Kubwa nao wamekuwa kipaombele kulalamika wanaposikia nafasi za KAZI Kwa watu wasiosoma.

Wakati tunalalamika hivyo Bungeni wapo wasio soma na waliosoma. Hakuna anayejiuliza wasomi wamechangia Nini huko Bungeni?

JPM alichukua PHD karibu zote vyuo na kuwapa uteuzi, ni kipi PHD zimelitendea Taifa? Mama Samia ameingia ameziondoa PhD nakuanza kuchukua wasomi wa chini, Je elimu yetu inatufaa?

Wasio na elimu wanafagia barabara na ufanisi wao kuanzia kuwahi kazini Hadi kufanya usafi kama jukumu la msingi unaonekana .

Wasio na elimu wanazibua vyoo kwenye taasisi mbalimbali na wasipofanya Kwa ufanisi ofisini hakuna atakayekaa.

Wasio na elimu Kubwa Wanafanya usafi maofisini na kuwahudumia waliosomi na hakuna siku wamewahi kulalamikiwa.

Lakini pia wasio soma Sana wanalinda Benki, majumba na makazi yetu na hakuna siku wameacha kutimiza wajibu wao.

Leo hii tunao madaktari waliopewa KAZI ya kutafsiri sheria lakini wameshindwa, wapo majaji wamepewa kusimamia haki lakini awatekelezi wajibu, wapo viongozi mbalimbali wa juu waliosoma Kila wanapowekwa wanakwapua nakujenga maghorofa na kuidhulumu adhira ya Wananchi waliowengi na hakuna Cha kuwafanya.

Endapo wasiosoma wanatimiza wajibu wao kwanini tulazimishe kuwa na waliosoma wanaolivuruga Taifa? Katiba haitambui MTU asiye na chama kuwa Rais, Mbunge wala Diwani na akipoteza sifa ya uanachama anapoteza Ubunge Hadi arejeshewe sifa hiyo na chama chake au mahakama lakini Yupo MTU ana PhD anatuambia hao wataendelea kuwa Bungeni. Watu wa aina hii walisoma kwa ajili ya kulisaidia Taifa au kuisaidia familia yake? Nyufa anazotengeneza kwenye Taifa zitazibwa vipi?

Bado Kwa mfumo huu tunaamini tutapata wawekezaji au tutapata wakwapuaji? Wanachuma wanaondoka.

Kipindi hiki ambacho siyo wanachama wanakaa Bungeni kama Wabunge wa chama Gani?
 
Hao wabunge 19 bado ni Chadema mpaka kesi zao zimalizike mahakamani. Tegemea kesi kumalizika baada ya uchaguzi wa 2025.
 
Mjaribu kumuelewa Mh Rais SSH aliposema waandishi wa habari wa huko majuu hawakupi ya kwao yote kuepuka kujivua nguo hadharani.

Hata TL kesha muelewa Mama kasema covid 19 CDM msijipe matumaini hewa.
 
Awamu hii owe awamu ya ngumbarus .

Wasonji wametufikisha hapa ngumbaru waweza kutufikiaha mbali zaidi .

Irrational thinker
 
Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari.

Upo wakati watanzania walilalamika majeshi yanapotoa nafasi za KAZI Kwa wahitimu wa kidato Cha nne ambao walifauli Kwa wastani mdogo. Hata Wananchi wasio na elimu Kubwa nao wamekuwa kipaombele kulalamika wanaposikia nafasi za KAZI Kwa watu wasiosoma.

Wakati tunalalamika hivyo Bungeni wapo wasio soma na waliosoma. Hakuna anayejiuliza wasomi wamechangia Nini huko Bungeni?

JPM alichukua PHD karibu zote vyuo na kuwapa uteuzi, ni kipi PHD zimelitendea Taifa? Mama Samia ameingia ameziondoa PhD nakuanza kuchukua wasomi wa chini, Je elimu yetu inatufaa?

Wasio na elimu wanafagia barabara na ufanisi wao kuanzia kuwahi kazini Hadi kufanya usafi kama jukumu la msingi unaonekana .

Wasio na elimu wanazibua vyoo kwenye taasisi mbalimbali na wasipofanya Kwa ufanisi ofisini hakuna atakayekaa.

Wasio na elimu Kubwa Wanafanya usafi maofisini na kuwahudumia waliosomi na hakuna siku wamewahi kulalamikiwa.

Lakini pia wasio soma Sana wanalinda Benki, majumba na makazi yetu na hakuna siku wameacha kutimiza wajibu wao.

Leo hii tunao madaktari waliopewa KAZI ya kutafsiri sheria lakini wameshindwa, wapo majaji wamepewa kusimamia haki lakini awatekelezi wajibu, wapo viongozi mbalimbali wa juu waliosoma Kila wanapowekwa wanakwapua nakujenga maghorofa na kuidhulumu adhira ya Wananchi waliowengi na hakuna Cha kuwafanya.

Endapo wasiosoma wanatimiza wajibu wao kwanini tulazimishe kuwa na waliosoma wanaolivuruga Taifa? Katiba haitambui MTU asiye na chama kuwa Rais, Mbunge wala Diwani na akipoteza sifa ya uanachama anapoteza Ubunge Hadi arejeshewe sifa hiyo na chama chake au mahakama lakini Yupo MTU ana PhD anatuambia hao wataendelea kuwa Bungeni. Watu wa aina hii walisoma kwa ajili ya kulisaidia Taifa au kuisaidia familia yake? Nyufa anazotengeneza kwenye Taifa zitazibwa vipi?

Bado Kwa mfumo huu tunaamini tutapata wawekezaji au tutapata wakwapuaji? Wanachuma wanaondoka.

Kipindi hiki ambacho siyo wanachama wanakaa Bungeni kama Wabunge wa chama Gani?
awatekelezi× ni hawatekelezi✓
adhira× ni hadhira✓
Kabla ya kuwanyooshea hao wasomi vidole, na wewe fanyia kazi kwanza mapungufu yako!
Uko half-cooked kwenye taaluma ya habari!
 
Back
Top Bottom