umeme

  1. Monasha

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali huu mgao wa umeme angalau uzingatie kuleta Tija

    Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi. Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao. Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Christmas in Damascus, Syria once a Christian Countr na Umeme upo!

    kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia. leo hii Damascus...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda. Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa...
  7. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Umeme Maporomoko ya Rusumo Wafikia Asilimia 99.9

    NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi umefikia asilimia 99.9 na nchi hizo tayari zimeanza kupata umeme kutoka kwenye mradi huo. Dkt. Biteko...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco wilaya ya Chunya kama tumewakosea mtusamehe! Umeme unakatika kila siku!

    Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Fupa la umeme kumchafua Dotto Biteko?

    Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika. Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za...
  13. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania U.S-CHINA Tech War: Utawala betri za gari za umeme

    US-China tech war escalates over EV battery dominance Rita Liao Mon, 11 December 2023, 10:05 am GMT+3·3-min read Image Credits: Chesky_W (opens in a new window) / Getty Images Semiconductors have in recent years become a focal point in the U.S.'s efforts to impede China's technological...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

    watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE. SOME THING MUST BE DONE. WE CANT GO ON THIS WAY. WE NEED THIS GOVERNMENT OUT, BY ANY MEANS. WE NEED...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza nguzo zote za umeme zichukuliwe GPS coordinates, na zifungwe sensor , taarifa zote zilishwe kwenye mfumo wa Geomap ya Tanesco.

    Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme. Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  17. Execute

    JamiiForums Tanzania Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana? Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

    Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
  20. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

    TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge? Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki. Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora. Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
Back
Top Bottom