Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,243
12,767
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
 
Gharama inategemea na capacity na mahitaji yako maana kia kitu kinakua calcutated kuingana na mahitaji/matumizi yako.

Ila katika uhalisia kampuni nyingi zina wachaji wateja pesa nyingi sana.

Mfumo wa milioni moja utaambiwa utawekewa gharama za milioni 3.

Ndio bongo yetu hiyo.
 
Gharama inategemea na capacity na mahitaji yako maana kia kitu kinakua calcutated kuingana na mahitaji/matumizi yako.

Ila katika uhalisia kampuni nyingi zina wachaji wateja pesa nyingi sana.

mfumo wa milioni moja utaambiwa utawekewa gharama za milioni 3.

Ndio bongo yetu hiyo.
Tuchukulie wastani wa numba zetu za kawaida za vyumba vitatu. Umeme unarun taa, friji, tv, radio, feni na pasi. Mapishi ni gesi, hakuna mashine ya kufulia wala dishwasher.
 
Pia labda tufanye unaagiza panels zako na vikorokoro vingine sehemu kama Alibaba. Unatafuta tu fundi wa kuja kusuka.
 
Tuchukulie wastani wa numba zetu za kawaida za vyumba vitatu. Umeme unarun taa, friji, tv, radio, feni na pasi. Mapishi ni gesi, hakuna mashine ya kufulia wala dishwasher.

Mkuu kwa matumizi kama hayo ni makubwa sana kwenye solar.shida ya solar umeme ukibadilisha tu kutoka kwenye DC kupeleka kwenye AC ili utumie vifaa ulivyonavyo inakuwa cost kubwa kidogo.hapo sio chini ya Kw 2 kwa matumizi unayoitaji.kwa iyo jiandae na sio chini ya milion 6.

Ni bora ununue solar na vifaa vya DC kuliko kubadili kupeleka kwenye AC
 
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
safi sana,i wish na mie nitumie solar tu,hii songombingo ya tanesco ni kero tu
 
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Dah... kwa sera ya nchi yetu ukitaka kutumia umeme jua kwa kutaka kupunguza gharama utakuwa umefeli kwani gharama ya unit moja ya umeme ni kubwa kuliko ya Tanesco.... Tumia umeme jua kama tu unataka umeme wa kuaminika ...usiokatikakatika....au ukusaidie wakati Tanesco wamefanya yao..umeelewa au unataka hisabati yake? 😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom