Bajaji za Umeme zina faida gani? Changamoto zao ni zipi?

OleWako

New Member
Sep 7, 2021
4
5
Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme.

leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe.

Dereva aliniambia bajaji za umeme zina faida tu: matumizi ya umeme ndogo, uwezekano wa kuichaji nyumbani, matengenezo ya gharama ya chini, nk. na changamoto hana.

Je, ni kweli changamoto hakuna? Ukiendesha bajaji ya umeme umefanya experiences gani?

Dereva akaniambia zinauzwa na DIT. Kuna wauzaji wengine Dar? Na bei zao ni zipi?
 
Back
Top Bottom