umeme

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanafunzi shule za Serikali kulindwa na kupikiwa na vibarua wasio na taaluma husika? Kwanini wanafunzi wawajibike kuwaajiri hawa vibarua?

    Wanafunzi wa kidato cha sita wanalipa michango mbalimbali. Baadhi ya michango hiyo ni mchango wa mlinzi. Je walinzi wa shule siyo waajiriwa wa serikali? Na kama siyo waajiriwa wa serikali wanapolipwa na wanafunzi wanalipwa kama vibarua? Kama ni vibarua wanahudumu kwa miaka mingapi kama vibarua...
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Je lini Kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku? Naomba kuwasilisha
  3. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Watu kukaa nyumbani kipindi cha likizo chanzo cha umeme kuisha haraka

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU. Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

    Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  5. A

    JamiiForums Tanzania LUKU inakula umeme sio poa

    Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastani wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 na dhambi ya umeme vijijini

    Kazi ni kubwa imefanyika 2023 lakini ni kazi chafu kwa wanavijiji walio wengi. Baada ya kupata umeme wanavijiji waliachana kabisa ghafla na utaratibu wao wa maisha waliouzoea. Ghafla walizitupa mashine zao za kusaga na kukoboa zinazotumia mafuta ya diesel, walitupa vibatali vyao na hata vinyozi...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vichwa Vipya 3 vya Treni ya Umeme SGR Vyawasili Nchini

    TRC YAPOKEA VICHWA 3 VYA TRENI YA UMEME SGR KUTOKA KOREA KUSINI Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya ‘Sung Shin Rolling Stock Technology’ (SSRST) kutoka...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kama nchi zilizoendelea, hili swala la umeme lingetosha kabisa Rais kujiudhulu

    Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji. Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

    Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya nyuma sikukuu umeme ulikuwa haukatwi

    Yaani hata kama kulikuwa na mgao vipi lakini serikali ilihakikisha umeme unakuwepo then baada ya sikukuu ndio utaratibu wa katakata ya umeme inaendelea. Niseme tu naumia sana kuona sikukuu yetu hii kubwa hatuna umeme huku nilipo. Na hili simlaumu Mama bali nawalaumu watendaji wa Sector ya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania From the Horse's Mouth: Mabwawa yote ya Umeme hayajajaa Maji na muda wowote Viwanda vifafunga Uzalishaji

    Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi ) Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa. Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme linatafutwa. Eti wa maji ni mgumu wanatafuta wa jua!!! Halafu wengine wanasema wanataka wa upepo kwa...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

    Jana Arusha kutwa nzima hakuna umeme,usiku umeme ulirejea saa 7 asubuhi saa 1:43 wamekata. Tumeshindwa kupasi nguo,vyakula kwenye fridge vimeharibika,tumelipia Dstv full package hatuna tunaweza kutazama. Kipindi kuelekea Christmas 🎄 majumbani ukiwa mtupu. Tunajuwa Makamba alihujumu TANESCO...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM inatutesa kwa suala la Umeme?

    Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme. Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma Kweli...
  19. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

    Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo. Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu. Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
Back
Top Bottom